Wanawake mabikra tukutane hapa

Hongera kwa hilo dada na Mungu akupiganie zaidi. Embu kwanza tupatie mrejesho wa ile thread yako iliyo trend hapo nyuma kidogo yenye heading "Ameamua kuniacha bila sababu sasa anataka tuuze nyumba tugawane pesa".
 
JF nzima waweza kuwa peke yako. Hongera kwa kujitunza.
 
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] Mungu awe nawe uendelee kuwa mkweli
 
29 years then bikra hiyo haiwezekani kama sio kwa dushe basi itatoka yenyewe.
 
Ni pm haraka nikutolee hio kitu. Hio ukifikisha tu miaka 35 ukiwa nayo ni ugonjwa tayari. Bikira ni hatari kwa Afya yako ila Kwa Upande Wa MUNGU wako Itunze hadi kufa hakuna shida
 
Nyinyi ndo ukubwani mwenu mnakua masugar mamy. Baada ya kuonjeshwa utamu mnaanza kuonja kila ladha ili mjue nini tofauti.

Kama upo serious, bikra haipunguzi wala haiiongezi chochote kwenye maisha ya ndoa. Labda zile zenye kuabudu tamaduni za bikra
 
Wenye nazo huwakuti wakitangaza achilia mbali kusema tu, wacha kupiga watu changa la macho kwanza bikira sio deal siku hizi.
 
haki ya nani fuatilia hadi mwisho utajikuta upo peke yako
 
Bikra haitangazwi huyu atakuwa anatudolishia hajui kuwa na sisi tulikuwa hivyo kabla ya kuwa hivi.
Ila wakumuhurumia tu maana anapitwa na mengi kwa kung'ang'ania kuitwa bikra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…