Wanawake live ni kama midahalo ya kidin ilivyo kuwa inaendeshwa na viongozi wa kidin

Mimi naamini MWANAMKE ni MWENDAWAZIMU kama sio CHIZI by nature....MWANAMKE mwenye pHD akili zake ni sawa na mtoto wa kiume aliyemaliza Chekechea.....Vichwa vya wanawake 100 wenye pHD ni sawa na kichwa cha MWANAMUME mmoja aliyemaliza std 7.....

Hujielewi wewe
 
that goes ONLY tu WANAWAKE WANAOKUHUSU!
 
kipindi cha Joyce hakina ubaya wowote, mwanamke atakayedanganywa na mafunzo hasi
juu ya ndoa atakuwa ameamua mwenyewe, kutokana na historia ya mwendesha kipindi
inaweza kuwahamaisha wasichana wenye status kama ya aliyokuwa nayo mwendesha kipindi
kuwa ulipoogea sio lazima ukaukie,,, kuna mabdiliko yanaweza kupatikana mradi uwe umeamua
nmpongeza kwa mazuri anayowafundisha wasichana,, mapungufu yapo, ila naamini aratibu anawza rekebisha
 
Kinaendeshwa na mwanamke anaejielewa na mwanaharakati katika kumkomboa mama kutoka ktk uonevu anaofanyiwa na baba
Nyongeza, Joyce ni mwanamke ambaye mwanaume yeyote angependa kuwa nae maana she knows how to overcome poverty
ngoja nianze kuuliza mie

eti dav22 anaekiendesha ana status gani?????
 
Last edited by a moderator:
Mimi naamini MWANAMKE ni MWENDAWAZIMU kama sio CHIZI by nature....MWANAMKE mwenye pHD akili zake ni sawa na mtoto wa kiume aliyemaliza Chekechea.....Vichwa vya wanawake 100 wenye pHD ni sawa na kichwa cha MWANAMUME mmoja aliyemaliza std 7.....

Kwi kwi kwi ha ha ha ha ha! Kamanda hapo umeua kabisa.
 
mimi naamini mwanamke ni mwendawazimu kama sio chizi by nature....mwanamke mwenye phd akili zake ni sawa na mtoto wa kiume aliyemaliza chekechea.....vichwa vya wanawake 100 wenye phd ni sawa na kichwa cha mwanamume mmoja aliyemaliza std 7.....

huu ni zaidi ya utoto kufikiri hivi. Na haya maandishi yameonesha wazi jinsi ulivyo na uwezo mdogo wa kufikiri, na jinsi unavyo ona wanawake ni takataka.

Na hiki kipindi kimewekwa kwaajili ya kuwainua na kuwasaidia hawa mnao waona taka taka na haya maandishi yako ni matusi hata kwa wazaziwako hakika. Kama mnapata muda wa kuangalia hiki kipindi hata mara moja mtagundua kuwa kimekuwa msaada kwa wanawake hata kwa wanaume na kupitia hiki kipindi nilisha shuhudia mzee mmoja akipewa msaada maana alikuwa hana pesa ya matibau.

Hiki kipindi ni kizuri sana na kinatoa elimu sana kwa wanawake na hata kwa wanaume na kuna mafunzo huwa yanatolewa pale na misaada mingi tuu bila kujali jinsia japo kinaitwa wanawake live. Mtu kama wewe unaye andika maneno kama haya sidhani kama unaweza toa pesa yako kumsomesha mwanao wa kike.
Daaa pamoja na ujuzi wa computer na fursa mnazo pata kila leo lakini bado mnafikra mgando kiasi hiki? Naomba ufanye research ni kwa asilimia ngapi wanawake na wanaume wamekuwa msaada mkubwa kwenye familia zao hata baada ya kuo/ kuolewa?

Ina sikitisha sana.
 
Ni utoto kupotosha jambo ambalo unajua ukweli wake.

HIKI kipindi kimekuwa kikiwakandia sana wanaume kitu ambacho kimekuwa kikichochea sana kiburi/chuki kwa baadhi ya wanawake, kila ukikisikiliza ni wanaume wanafanya hiki mara kile mara sijui nini kiasi kwamba sehemu kubwa ya wanawake wanajengewa kiburi taratibu hadi itafika mahali heshima ambayo inakuwepo kati ya mwanaume na mwanamke katika ndoa kama ilivyo takiwa na vitabu vitakatifu inapotea taratibu,
Nikijaribu kutafakari nakumbuka hata ile ya dini ilianza hivi hivi chuki ikaanza kidogo kidogo hadi hapo tulipo fika leo nahisi kwa uchochezi unaoendeshwa na huyu mdada mara nyingi huwa ni kuwananga wanaume na ndio mana hata ndoa sasa hazIdumu sababu misingi yetu ya kidini tumeitupilia mbali badala yake tumeingiza siasa kwenye ndoa ni maoni tu .

NOTE:ikiwa mungu aliumba mwanaume na majukumu yake kama mwanamme na mwanamke na majukumu yake kama mwanamke hakuna mtu anaye weza kubadilisha uhalisia huu hata kwa nguvu ipi.
 
Mimi naamini MWANAMKE ni MWENDAWAZIMU kama sio CHIZI by nature....MWANAMKE mwenye pHD akili zake ni sawa na mtoto wa kiume aliyemaliza Chekechea.....Vichwa vya wanawake 100 wenye pHD ni sawa na kichwa cha MWANAMUME mmoja aliyemaliza std 7.....

mmh... wewe Myahudi nini?
 
Kuna matendo yatendwayo na wanawake si mema, hali kadhalika kuna matendo yatendwayo na wanaume siyo mema.

Kwa mantiki hiyo si sahihi kutoleana maneno machafu kana kwamba sisi tulijileta wenyewe duniani.

Kila mtu kazaliwa na baba na mama yake, kwa hiyo tukosoane kwa kuelimishana na si kwa maneno machafu.
 
kwi kwi kwi,eti umesema???
 
Mimi naamini MWANAMKE ni MWENDAWAZIMU kama sio CHIZI by nature....MWANAMKE mwenye pHD akili zake ni sawa na mtoto wa kiume aliyemaliza Chekechea.....Vichwa vya wanawake 100 wenye pHD ni sawa na kichwa cha MWANAMUME mmoja aliyemaliza std 7.....

asee pole sana ndugu inafahamika kuwa akili za mwanaum wa miaka 40 ni sawa na za mwanamke wa miaka 20 ndio maana mwanaume hata awe na akili vipi akioa mwanamke bomu familia lazima itetereke lakini mwanamke mwenye akili hata aolewe na kichaa vip lazima mambo yaende fresh katika familia na jamii kwa ujumla yani mwanamume bila mwanamke ni sawa na kipofu kucros barabara ambayo inatumika kwa mashindano ya magari..unajua wanaume wanadanganywa na hizo nguvu za kuvunja nyumba na kuiba wanadhani ndo kila kitu nyie bila wanawake ni sifur angalia mfano uchagani mwanaume akifa familia ndo inazid kustawi na mjane ananona lakn akifa mwanamke mwanaume anaharibikiwa familia haiendi kichwa cha mwendawazimu ni mama yako alieshindwa kukulea ujue umuhimu wa wanawake....pole weee
 
ngoja nianze kuuliza mie

eti dav22 anaekiendesha ana status gani?????

Anayekiendesha ni darasa la 7 na ni mzuri jijini dar kwa jina la usiku wanamwita joy ni maarufu sana yale maeneo ya kona bar,qbar,joly zamani kidogo kabla bongo muv hawajajisevia na baadae mungu alimuona kwa sasa ni mama watoto 3 akiwemo na mumewe ambaye pia ni kama mwanae kiumri.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom