Wanawake kwisha habari yao

Mwanaume kuumia sisi eti tutapata tabu huo ni uzwazwa sasa sie tukipata shida wewe jnawashwa nini. Huwa nashangaa mwanaume anaumia kisa life style ya wanawake au na wewe Wataka papuchi? Mara bikra sijui nini kila mtu na life style yake tu. Wengine hawakuumbiwa hata ndoa,
Wanatamani kuwa wanawake.
 
Apart frm avatar yake pia michango yake ya nyuma amejitanabaisha kama female labda awe shemale.

okokeni...someni maandiko..
Mwanaume kuumia sisi eti tutapata tabu huo ni uzwazwa sasa sie tukipata shida wewe jnawashwa nini. Huwa nashangaa mwanaume anaumia kisa life style ya wanawake au na wewe Wataka papuchi? Mara bikra sijui nini kila mtu na life style yake tu. Wengine hawakuumbiwa hata ndoa,

ahahahahahahahahaha .....leo sitaki mm kuandika...dah..upele umepata mkunaji .
 
Yani topic za wanawake huwauna kuliko sisi wanawake wenyewe halisi. Ingetakiwa sisi tuje kulalamika nadhani wengi huanzisha mada za kupondea wanawake Ili wapate koment na kujifariji baada ya kupigwa vibuti
Moja ya njia ya kupatia kiki jf ni kuanzisha mada zinazohusu wanawake.
 
Mwanaume kuumia sisi eti tutapata tabu huo ni uzwazwa sasa sie tukipata shida wewe jnawashwa nini. Huwa nashangaa mwanaume anaumia kisa life style ya wanawake au na wewe Wataka papuchi? Mara bikra sijui nini kila mtu na life style yake tu. Wengine hawakuumbiwa hata ndoa,
Mambo model...
 
Kwa ndoa zipi hizi za kina joyce kiria kila siku wanalia lia tu, wabongo mjifunze kinachomata katika maisha ni furaha tu siyo umeolewa kila siku unalialia ila unavumilia umaintain status huku wenzio wanakula bata
 
Wewe pia unatamani hayo maisha bila ndoa?
Hakuna asiyeipenda ndoa, hata mimi naitamani sana tu ila siwezi kuikimbilia kwa presha kwani ni heri kuwa peke yangu kuliko kuja kuishi kwenye ndoa itakayokuwa kama tanuru.
 
Hahahahaha hivi utajisikiaje unapokutana na Marafiki zako wote wana waume zao hata kama Wanagombana Ugomvi huwa hawauweki barabarani kila mtu Aone...

Utajisikiaje Umefikisha miaka 40 Unajuliakana Mtaa mzima Hujawahi kuvalishwa Pete ya Ndoa wakati majira zako wanaenda makanisani na Misikitini na Waume na Watoto wao

kiburi cha Mwanamke hukomeshwa na Umri.. endelea kujidanganya
Nadhani hatujaelewana, hakuna asiyeipenda ndoa ila siwezi kuolewa kwa ilimradi nionekane niko kwenye ndoa kuwafurahisha walimwengu ilhali naugulia maumivu.
 
Nadhani hatujaelewana, hakuna asiyeipenda ndoa ila siwezi kuolewa kwa ilimradi nionekane niko kwenye ndoa kuwafurahisha walimwengu ilhali naugulia maumivu.
Kwani Ndoa Sikuhizi Zinapimwa Kwanza Ukiona Hakufai Unatoka... ?

utajuaje Unaugulia Maumivu ya Ndoa Kama haupo kwenye Ndoa?
 
Kwani Ndoa Sikuhizi Zinapimwa Kwanza Ukiona Hakufai Unatoka... ?

utajuaje Unaugulia Maumivu ya Ndoa Kama haupo kwenye Ndoa?
Kuna watu wanaolewa na watu wasiowapenda ili kuridhisha walimwengu au kuogopa umri... Huko ndio kujipeleka kwenye tanuru la ndoa
 
Back
Top Bottom