Wanawake kwisha habari yao

Wanawake kwisha habari yao

Mleta mada nakukumbusha tu kuwa kuna maisha pia bila ndoa. Kuna watu wanajuta na ndoa zao kiasi cha kujitoa uhai. Ni heri niwe peke yangu ila niishi kwa amani kuliko kuikimbilia ndoa itakayogeuka ndoano!
Sizitaki mbichi hizi ulikisoma hicho kitabu
 
Mwenyewe umeshasema hakuna wa kuweza kuzuia unabii kutimia. Inamaana hata hao wanawake wafanye nini kamwe hawawezi kuzuia andiko lisitimie. Hata wanawake wote waamue kuokoka au wavae mahijabu haitosaidia mwisho wa siku lazima neno litimie. Na aliye waumba kawaumba kwa wingi ili andiko litimie. Sasa tatizo lipo wapi hapo maana ulivyoandika kichwa cha habari kama vile wanawake wamekomolewa.
Kazi ipo!!

Hakuna anayeweza shindana na maneno ya kinabii. Hata uwe nani, hata upinge vipi huwezi kuzuia unabii kutimia. Wanawake wengi sasa ni kama hawaamini kinachoenda kutokea lakini ukweli ndio huo.

Mwanamke uliyendoani, mwanamke mwenye mchumba ambaye unapendwa nakuomba ushikilia hapo hapo kwani zama tulizo nazo si lelemama. Thamani yenu ipo chini na ukiona mwanaume ameamua kukutolea mahari, kukuoa au kuishi na wewe tuu kama mme na mke tafadhali kamatia hapo hapo maana rungu linalokuja miaka ijayo hutoamini kinachoenda kutotea.

Ni wanawake wajinga wasioelewe tupo kipindi gani aidha ni wanawake wasio na elimu nzuri ya dini wasiojua zama hizi si za kuchezea. Thamani ya mwanamke ni ndoa zaidi ya hapo hana la ziada. Mwanamke aliumbwa kumsaidia mwanaume. Atamsaidia wapi mwanaume kama si kwenye ndoa. Mwanamke ameumbwa kuzaa, atazalia wapi kama si kwenye ndoa. Kukiuka hayo ndio hushusha heshima ya mwanamke na kumfanya awe sawa sawa na wanyama wengine. Hata baadhi ya wanyama hujua thamani ya ndoa.

Maandiko yanaenda kutimia. Biblia inasema: Mungu ameumba jambo jipya, tazama mwanamke atamlinda mwanaume. Huenda wapo ambao hawajawahi kusoma aya hiyo.

Kuna hii ambayo ndio mwiba mchungu wasiotaka kuusikia wanawake wakileo.
ISAYA 4
1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.


Kwa kweli unabii huu unatimia na miaka mitano ijayo kila kitu kitakuwa bayana.

Kama umeolewa mpende mumeo, na kama hujaolewa muombe Mungu akupe mume haraka maana episode inayofuata ni ya wanawake wenye nguvu ya kiuchumi, wenye elimu na wenye uwezo wa kuwahudumia waume zao. Huenda nisieleweke. Siku hizi ni bora umsomeshe mtoto wa kike ili dunia isije ikamshinda kwani picha linalokuja ni lakibabe sana.

Joka Jeusi
Ni mtumishi katika hekalu la Suleimani lililopo Chato
 
Mwenyewe umeshasema hakuna wa kuweza kuzuia unabii kutimia. Inamaana hata hao wanawake wafanye nini kamwe hawawezi kuzuia andiko lisitimie. Hata wanawake wote waamue kuokoka au wavae mahijabu haitosaidia mwisho wa siku lazima neno litimie. Na aliye waumba kawaumba kwa wingi ili andiko litimie. Sasa tatizo lipo wapi hapo maana ulivyoandika kichwa cha habari kama vile wanawake wamekomolewa.
Umenena vyema. Aseme tufanyaje sasa
 
Mwanaume kuumia sisi eti tutapata tabu huo ni uzwazwa sasa sie tukipata shida wewe jnawashwa nini. Huwa nashangaa mwanaume anaumia kisa life style ya wanawake au na wewe Wataka papuchi? Mara bikra sijui nini kila mtu na life style yake tu. Wengine hawakuumbiwa hata ndoa,
 
Shetani kakuelemea wokovu ni kipaji
okokeni...someni maandiko..



ohhhh lawd..shetani nipishe..nasema sikutaki shetan....usinizoee..usinirudishe ninawi....moyo umekataa mwili unakinzana nahamu sana na hayo madude aisee
 
Back
Top Bottom