Wanawake kwisha habari yao

Wanawake kwisha habari yao

Kumbe wanaume huwa wanatumia muda mwingi kuwachambua wanawake!!
Kuliko kujichambua wenyewe
 
Kazi ipo!!

Hakuna anayeweza shindana na maneno ya kinabii. Hata uwe nani, hata upinge vipi huwezi kuzuia unabii kutimia. Wanawake wengi sasa ni kama hawaamini kinachoenda kutokea lakini ukweli ndio huo.

Mwanamke uliyendoani, mwanamke mwenye mchumba ambaye unapendwa nakuomba ushikilia hapo hapo kwani zama tulizo nazo si lelemama. Thamani yenu ipo chini na ukiona mwanaume ameamua kukutolea mahari, kukuoa au kuishi na wewe tuu kama mme na mke tafadhali kamatia hapo hapo maana rungu linalokuja miaka ijayo hutoamini kinachoenda kutotea.

Ni wanawake wajinga wasioelewe tupo kipindi gani aidha ni wanawake wasio na elimu nzuri ya dini wasiojua zama hizi si za kuchezea. Thamani ya mwanamke ni ndoa zaidi ya hapo hana la ziada. Mwanamke aliumbwa kumsaidia mwanaume. Atamsaidia wapi mwanaume kama si kwenye ndoa. Mwanamke ameumbwa kuzaa, atazalia wapi kama si kwenye ndoa. Kukiuka hayo ndio hushusha heshima ya mwanamke na kumfanya awe sawa sawa na wanyama wengine. Hata baadhi ya wanyama hujua thamani ya ndoa.

Maandiko yanaenda kutimia. Biblia inasema: Mungu ameumba jambo jipya, tazama mwanamke atamlinda mwanaume. Huenda wapo ambao hawajawahi kusoma aya hiyo.

Kuna hii ambayo ndio mwiba mchungu wasiotaka kuusikia wanawake wakileo.
ISAYA 4
1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.


Kwa kweli unabii huu unatimia na miaka mitano ijayo kila kitu kitakuwa bayana.

Kama umeolewa mpende mumeo, na kama hujaolewa muombe Mungu akupe mume haraka maana episode inayofuata ni ya wanawake wenye nguvu ya kiuchumi, wenye elimu na wenye uwezo wa kuwahudumia waume zao. Huenda nisieleweke. Siku hizi ni bora umsomeshe mtoto wa kike ili dunia isije ikamshinda kwani picha linalokuja ni lakibabe sana.

Joka Jeusi
Ni mtumishi katika hekalu la Suleimani lililopo Chato
Mkuu kwa nini unajiita Jokajeusi ?? Hiyo avatar yako inatisha kinomanoma
 
Kumbe wanaume huwa wanatumia muda mwingi kuwachambua wanawake!!
Kuliko kujichambua wenyewe

Wanaume ndio kazi zetu mkuu, kama tunachambua mpira, siasa, part of human body, structure of the earh, types of colour. Sembuse wanawake
 
Sasa ukishamchambua unapata nini?
Mbona bado wanawapa tabu?


Wanatupa tabu kina nani mkuu? Labda wanaowaendekeza na kuwasikiliza. Lakini watu kama Joka wala hatuna stress na nyie. Kwanza shart muwe kuanzia watatu baada ya hapo najua kinachoendelea
 
Ha haaa eti muhanga. Tatizo la unabii wako hauendani na wakati uliopo


Tatizo la Unabi hahahaaa!! Wewe bado upo usingizini. Kaa hapo hapo. Nakuombea yasikukute ya kuombewa makanisani na misikitini
 
Wanawake wa siku hizi wameolewa na maendeleo sio wanaume tena walahi
Achana na kuwasema vibaya wanawake utakufa walahi
Kazi tunayo ifanya mkituudhi huwa tuna ongea na ARDHI IWAMEZE WEWE NA KIZAZI CHAKO MILELE YOTE WALAHI


Mimi sitishiwi na mpumbavu hata siku moja. Tena mwanamke ndio kabisaaaa
 
Back
Top Bottom