Wanawake kwisha habari yao

Wanawake kwisha habari yao

Sio kila mwanamke anafaa kuwa mke wengine wanajitambua kuwa ndoa hawawezi ndio maana unawaona hivyo walivyo.
Hayo maneno yenu waswahili ndo yanafanya mwanamke anaolewa ili jamii ifurahi ione na yeye kaolewa, yaani maneno ya watu yanampush kwenye ndia asiyoitaka na asiyoiweza.
Nyie ndio mnasababisha ndoa zisiheshimike kwa kulazimisha kila mwanamke aolewe. Haipo hivyo!
Ndo Maana Jamaa Ametoa maneno ya Isaya Itafikia Hatua Wanawake 7 wote hawana wa Kuwaoa wakiwemo hao uliowataja Eti hawawezi ndoa.. Watatafuta Wanaume wa Kuwaliwaza hawatawapata maana Kila Mwanaume atakuwa na Mwanamke ndani Amemuweka

Na Kinachotokea Sasa Hivi. Wezi wa Waume za Watu wamejaa Mitaani. Si wamama watu wazima.. si Wanafunzi wa Vyuo wote wanatafuta Wanaume wa Kuwaliwaza
 
ah wapi...heshima ya mke inaonekana pale unapomnyenyekea mumeo...unapomheshimu kwa kiwango cha juu sana mume kifupi MUME NI MUNGU WA PILI

Ungeniruhusu nikurushie hata ya soda PM.
Yaani Mambo ni itifaki, Mke amuheshimu Mume, Baba ampende mama, Watoto wampende Mama. Mke mungu wake ni Mume, na watoto mungu wao ni mama.
 
Thamani ya ndoa naifahamu. Nyie ndo hamjui uthamani wake mnataka kila mwanamke aolewe imagine mtu kama wema awe mke wako utajivunia nini sasa?
wengine watabaki kuwa chombo cha starehe kwa wanaume, wengine ni viburi hawakai na mume hata wiki why mtu kama huyo aolewe? Acheni kulazimisha mambo.
Ndoa na iheshimiwe!
Familia ndio huibua Jamii. Ikiwa ukoo wanawake wengi wameachika au hawajaolewa inaleta tafsiri mbaya kwa ukoo huo. Acha kujidanganya Mkuu. Wazungu wenyewe wanajua thamani ya ndoa, au wewe unawaangalia wa kwenye luninga ambao hawana tofauti kubwa na kina Wema?
 
mkuu usemacho ni kweli tupu... yaan mwanamke bila kuolewa ni ubatili mtupu.. mwanamke ambye hajaolewa mie naonaga kama hata hawastahili kuishi..
nani atajuheshimu wewe mwanamke kama hjaolewa?
vipaumbele vyetu viwe KUOLEWA TU...vingine majaaliwa!asante kaka kwa kuwafunulia hyo siri

Wanastahili kuishi. Ila jamii ikiwa na wanawake wengi wasioolewa huwa katika hali mbaya kimaadili. Wengi hujiamulia la kufanya. Hutembea uchi, hupost picha za kijinga mitandaoni. Lakini huwezi kutamwanamke aliyeolewa akifanya upuuzi huo. Na kama wapo ni 5% ya walioolewa
 
Thamani ya ndoa naifahamu. Nyie ndo hamjui uthamani wake mnataka kila mwanamke aolewe imagine mtu kama wema awe mke wako utajivunia nini sasa?
wengine watabaki kuwa chombo cha starehe kwa wanaume, wengine ni viburi hawakai na mume hata wiki why mtu kama huyo aolewe? Acheni kulazimisha mambo.
Ndoa na iheshimiwe!

Nani analazimisha Mkuu, Wapi kumeandikwa wapo wanawake wapo kwaajili ya kutenda maovu/starehe kulingana na Wema. Hiyo ni dhana ya kibinadamu. Mungu ameumba watu kila mmoja na pair yake. Kinachotokea ni kuwa watu wanajiharibia njia zao halafu wanasingizia kuwa wengine tumeumbwa kama chombo cha starehe. Mwanamke ni chombo cha starehe kwa mume wake na si kila mtu kuchovya kama Mbwa.
 
Mleta mada nakukumbusha tu kuwa kuna maisha pia bila ndoa. Kuna watu wanajuta na ndoa zao kiasi cha kujitoa uhai. Ni heri niwe peke yangu ila niishi kwa amani kuliko kuikimbilia ndoa itakayogeuka ndoano!
Wewe pia unatamani hayo maisha bila ndoa?
 
Ungeniruhusu nikurushie hata ya soda PM.
Yaani Mambo ni itifaki, Mke amuheshimu Mume, Baba ampende mama, Watoto wampende Mama. Mke mungu wake ni Mume, na watoto mungu wao ni mama.

rusha tu mkuu..wanawake wa sasa hv wamekuwa mashetwain..hawataki kusikia..unamkuta mwanamke anavyomjibu mmewe kama yeye ndo kamuoa..hajui kbs mume ni idara nyeti sana...watakuja kujioa wenyewe wakishupaza shingo...
hili pia makonda angeliangalia kwa jicho jingine...udangaji umezidi sana sana...na mwanaume gan anaoa mwanamke wa aina hyo...
 
Nani analazimisha Mkuu, Wapi kumeandikwa wapo wanawake wapo kwaajili ya kutenda maovu/starehe kulingana na Wema. Hiyo ni dhana ya kibinadamu. Mungu ameumba watu kila mmoja na pair yake. Kinachotokea ni kuwa watu wanajiharibia njia zao halafu wanasingizia kuwa wengine tumeumbwa kama chombo cha starehe. Mwanamke ni chombo cha starehe kwa mume wake na si kila mtu kuchovya kama Mbwa.
Hujui unachoongea. Hata kwa wanaume sio wote wanafaa kuoa wengine ni bora wabaki mabachelor maisha yote. Ndoa ni commitment na kama haipo unapoteza muda wako.
Binadamu tumeumbwa na kulelewa tofauti..wanawake wote hawawezi kuwa wife material ingekua hivyo basi hakuna ambae angekosa mume au ndoa zisingevunjika.
Hili suala la kushangaa wanawake wasiotaka kuolewa sijui mnalitoa wapi.
.
.
Wewe ukitaka mke oa, mwanamke akikosa wa kumuoa mwacheni pia maana ndo maisha aliyochagua..
Haya maneno yenu ndo yanawapush wanawake kwenye ndoa kipindi ambacho hajajiandaa, yaani akisikia kuwa kuolewa ni heshima anakimbilia huko baada ya mwezi ndoa imemshinda. Heshima ikwapi hapo?
 
wewe dada usiwarudishe wanawake NINAWI..ushindwe..soma bibliaa uielewe..utageuka jiwe la chumv
 
Ukiona mke anakujibu atakavyo jua kuwa nafasi yako kama kichwa cha familia huitendei haki ipasavyo. Hakuna mwanamke anayejitambua atamjibu mume wake hovyo, unaanzaje labda?
rusha tu mkuu..wanawake wa sasa hv wamekuwa mashetwain..hawataki kusikia..unamkuta mwanamke anavyomjibu mmewe kama yeye ndo kamuoa..hajui kbs mume ni idara nyeti sana...watakuja kujioa wenyewe wakishupaza shingo...
hili pia makonda angeliangalia kwa jicho jingine...udangaji umezidi sana sana...na mwanaume gan anaoa mwanamke wa aina hyo...
 
wewe dada usiwarudishe wanawake NINAWI..ushindwe..soma bibliaa uielewe..utageuka jiwe la chumv
Wapi nimekosea? Achana na mambo ya dini tuongee uhalisia.
Why mnawapush waolewe? Kwani wanawake wa kuoa mmekosa?
 
Back
Top Bottom