Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,541
- 94,737
HayaWewe utakuwa muhanga maana sio kwa ubishi huu. Maandiko matakatifu ndivyo yanavyosema wewe kwanini kuwa mbishi?
Unabishana na Biblia?
HayaWewe utakuwa muhanga maana sio kwa ubishi huu. Maandiko matakatifu ndivyo yanavyosema wewe kwanini kuwa mbishi?
Unabishana na Biblia?
poa MkuuShukrani Mkuu
Kwaiyo hawa watoto wetu watakosa wa kuwaoa badae?
Huenda usieleweke kurahisi! Lkn ni jambo lililopo sasa.Hawawezi kukosa wa kuwaoa ila watakaoolewa ni wale wenye nguvu ya kiuchumi na wadhifa
Huenda usieleweke kurahisi! Lkn ni jambo lililopo sasa.
Wanawake wengi wametoka majumbani wapo mitaani kutafuta pesa. Na vijana wengi hawapendi kuoa wanawake golikipa (asie na kazi). Na wanawake nao wanahamasishana kupitia vikundi mbali mbali kujikwamua kiuchumi.
Kwasasa hivi wanaume wanaoa wanawake ambao wenye angalau kitu kinachowaingizia pesa. Lkn episode inayofuata hao wanawake watazidiana kipato na wenye kipato kikubwa ndio watawazibiti wanaume. Hapo wanaume hawataangali mwenye angalau tena.
Mnawaheshimu walioolewa kwa lipi la maana?mkuu usemacho ni kweli tupu... yaan mwanamke bila kuolewa ni ubatili mtupu.. mwanamke ambye hajaolewa mie naonaga kama hata hawastahili kuishi..
nani atajuheshimu wewe mwanamke kama hjaolewa?
vipaumbele vyetu viwe KUOLEWA TU...vingine majaaliwa!asante kaka kwa kuwafunulia hyo siri
Mnawaheshimu walioolewa kwa lipi la maana?
Ha haaa may be. Heshima ya mke inaonaonekana kama mumewe anampenda na kumuheshimu. Mengine blah blah tuni heshima kwa jamii inayomzunguka...tena wewe unaoneka hujaolewa wewe..
Hahahahaha hivi utajisikiaje unapokutana na Marafiki zako wote wana waume zao hata kama Wanagombana Ugomvi huwa hawauweki barabarani kila mtu Aone...Mleta mada nakukumbusha tu kuwa kuna maisha pia bila ndoa. Kuna watu wanajuta na ndoa zao kiasi cha kujitoa uhai. Ni heri niwe peke yangu ila niishi kwa amani kuliko kuikimbilia ndoa itakayogeuka ndoano!
Ha haaa may be. Heshima ya mke inaonaonekana kama mumewe anampenda na kumuheshimu. Mengine blah blah tu
Duuuh unabii wake au wa ISAYA?Ha haaa eti muhanga. Tatizo la unabii wako hauendani na wakati uliopo
Haahahah Unabishana Na Mtu ambaye hajawahi kuolewa lazima Apinge tu maana Wanaume wanamkimbia anaona Unamsema moyo unamchomaHauendani kivipi Mkuu? Hujui maudhuo yaliyomo ndani ya unabii huo nikufafanulie. Tafsiri ni kuwa siku zinakuja wanawake wengi(Isaya ameona aweke 7) Watakosa wanaume wa kuwaoa. Itafikia kipindi mwanamke atajitongozesha kwa mwanaume huku akisema atajihudumia mwenyewe, iwe chakula, mavazi, na matumizi mengine. Tena wengine itafikia hatua atajua kabisa fulani anamke lakini hatajali atakachojali ni kuwa na mwanaume. Hii mbona tayari ipo sana mjini.
Sasa wapi unabii hauendani na wakati.
Twende mbele turudi nyuma haya maneno ni mazito sana kwamba una miaka 40 hujawai kuvishwa Pete na marafiki zako wote wanandoa zao wewe huna hapo kuna gepu tuu,Sasa anayebisha ha ha ha ha ni hatari sana,ushauri kwa wanawake mlio kwenye ndoa basi kuweni siriasi na ndoa zenu,maana ukweli ni kwamba wanawake mpo wengi kuliko wanaumeHahahahaha hivi utajisikiaje unapokutana na Marafiki zako wote wana waume zao hata kama Wanagombana Ugomvi huwa hawauweki barabarani kila mtu Aone...
Utajisikiaje Umefikisha miaka 40 Unajuliakana Mtaa mzima Hujawahi kuvalishwa Pete ya Ndoa wakati majira zako wanaenda makanisani na Misikitini na Waume na Watoto wao
kiburi cha Mwanamke hukomeshwa na Umri.. endelea kujidanganya
Isaya mwenyewe ni binadamu kama yeyeDuuuh unabii wake au wa ISAYA?
Hahahahaha hivi utajisikiaje unapokutana na Marafiki zako wote wana waume zao hata kama Wanagombana Ugomvi huwa hawauweki barabarani kila mtu Aone...
Utajisikiaje Umefikisha miaka 40 Unajuliakana Mtaa mzima Hujawahi kuvalishwa Pete ya Ndoa wakati majira zako wanaenda makanisani na Misikitini na Waume na Watoto wao
kiburi cha Mwanamke hukomeshwa na Umri.. endelea kujidanganya
Duh....mkuu usemacho ni kweli tupu... yaan mwanamke bila kuolewa ni ubatili mtupu.. mwanamke ambye hajaolewa mie naonaga kama hata hawastahili kuishi..
nani atajuheshimu wewe mwanamke kama hjaolewa?
vipaumbele vyetu viwe KUOLEWA TU...vingine majaaliwa!asante kaka kwa kuwafunulia hyo siri
Umeolewa?Ha haaa may be. Heshima ya mke inaonaonekana kama mumewe anampenda na kumuheshimu. Mengine blah blah tu
Sawa. Mume ndo anapata hiyo heshima na sio nyie jamii inayomzunguka.