Wanawake kwisha habari yao

Wanawake kwisha habari yao

Uko sahihi kabisa,ngoja na sisi wanaume tusubiri huo unabii maana itakuwa vzr sana tukioa watano alafu ela tupewe na sisi maana tumeshatoa sana ela kwa hawa viumbe
 
Worry not Laachi am with you forever,you are not part of this prophecy.
May God let it come very soon.
 
Uko sahihi kabisa,ngoja na sisi wanaume tusubiri huo unabii maana itakuwa vzr sana tukioa watano alafu ela tupewe na sisi maana tumeshatoa sana ela kwa hawa viumbe

hatari sana
 
Mleta mada nakukumbusha tu kuwa kuna maisha pia bila ndoa. Kuna watu wanajuta na ndoa zao kiasi cha kujitoa uhai. Ni heri niwe peke yangu ila niishi kwa amani kuliko kuikimbilia ndoa itakayogeuka ndoano!
Huu ndo unabii wenyewe anaousema mleta mada.
 
Labda upo sahihi lakini ni choice tu ya mtu. Ukiona mtu amejiweka kutotaka ndoa basi ujue kuwa hataki sio wa kuolewa huyo.
Na pia si kila mwanamke ni wa kuolewa..wengine wapo kwaajili ya matumizi mengine. So usilazimishe aolewe jua kuwa hana huo mwelekeo. So tafuta mwenye muelekeo huo umuoe usilazimishe jinsi unavyotaka wewe iwe.
Wewe utakuwa muhanga maana sio kwa ubishi huu. Maandiko matakatifu ndivyo yanavyosema wewe kwanini kuwa mbishi?

Unabishana na Biblia?
 
Wanawake wa siku hizi wameolewa na maendeleo sio wanaume tena walahi
Achana na kuwasema vibaya wanawake utakufa walahi
Kazi tunayo ifanya mkituudhi huwa tuna ongea na ARDHI IWAMEZE WEWE NA KIZAZI CHAKO MILELE YOTE WALAHI
 
Sawa Mke wang walahi. Ila si maneno yangu Walahi. Bali ni maandiko walahi.
 
Back
Top Bottom