ukweli ni kuwa mie nina inferiority complex sababu back in days nlikuwa mchafu n sura hailipi so sikuweza kupata mahusiano. nmepata mpunga kwa kupipga michongo kitaa nkaanza kupendeza kwa kuvaa nguo za gharama n mtyz kibao. so nkipata mschana nawkuwa insecure na hivyo natumia pesa sana kumjali n inakula kwangu kama hivi
Wenzako tunatumia juisi ya pride 300 na andazi moja la bakhresa 200 jumla 500
unakula mzigo
Unashangaa nini ww ndo uliyataka hayo!!! hapo hakuna ushauri pepo lilikukamata sasa limekuachia, kuwa makini achana na hayo mambo ni wastage of time. dont be in love as entertainment it's always cost and leaves men bunkrupt