Wanawake kwanini wakatili hivi kwenye mapenzi?

Wanawake kwanini wakatili hivi kwenye mapenzi?

Mbona sijaona kama ulimtongoza?
Kumnunulia nguo na vyakula pekee aitoshi inabidi ufunguke kijana acha udomo zege sawa!
 
Sio kila mwanamke ukimpa pesa ndo kila kitu .unaweza kupendwa bila pesa kwanza inabid ujue huyo mwanamke anataka nini hasa kwa mwanaume then do it for her .hachomoki .......
 
Pole mkuu hukumfafanulia ya moyon mwako mlienda kmatendo tu bila maneno
 
Back
Top Bottom