Wanawake kwanini mnapingana na MAANDIKO?

Pamoja na hela zenu kutoonekana bado hata majukumu yenu ya msingi kwa mwanaume hamfanyi. Mko busy lakini mnachofanya hakionekani.

Vijijiji wanawake wanalima kwahiyo hata kama hawatoi pesa bado wanachangia kwenye ustawi wa familia. Mjini wanawake hamlimi na kuchangia shilingi kwenye ustawi wa familia mnaona sawa na kutupa shilingi kwenye tundu la choo. Kwahiyo kuwa mwanamke haina maana ya chako chetu na changu changu.
Ni kweli kaka.
 
Mbona maandiko yamesema kwamba mtatafuta kwa jasho maana yake nyie mtafute hela mtuhudumie ila mnalalamika mkiombwa hela.
Acheni kupingana na maandiko
 
Tofautisha kuhudumia na kuhonga[emoji28][emoji28] shida inakuja pale ambapo kila mkitoa papuchi mnataka mpewe na ela sasa hiyo ni tofauti na haipo kwny maandiko maana hata iyo ni kumkosea Mungu (amri ya sita)
 
Ni matumaini yangu kuwa muwazima wa afya.

Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu! naomba kuuliza wajuzi wa mambo.
Ni kwanini wanawake wamekua wakipingana na maandiko na kutafuta usawa?
Ni kwanini wanawake wamekua watu wa kulalamikia yale waliyopaswa kufanya?
Ni kwanini wanawake hawataki kusimama katika nafasi zao?

Mwanzo 3:16 (Biblia takatifu inasema)
"Akamwambia mwanamke, hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa UTUNGU utazaa watoto; na tamaa yako itakua mumeo, naye atakutawala"

Katika nukuu iyo utaona kabisa kuwa, wanawake wamekua wakitafuta usawa kwa wote na hili hali maandiko yameeleza kua "naye (MWANAUME) atakutawala" sasa kwanini ninya mwanawake mmekua mkilipinga hili?

Ni wajibu wa mwanamke kubeba mimba na kuzaa... Ila utakuta wanawake wakilalamika MIMI NDIYE NINAYEJUA UCHUNGU WA MTOTO - yaliandikwaa haya😡
"hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa UTUNGU utazaa watoto"
Jamani kina mama/ dada mjue hata sisi tulipewa maagizo kwa josho tutaishi. Mbona hatulalamikii hili na tunafanya kwa moyo wote?

Nawaombeni wanawake msimame kwenye nafasi zetu, simameni kwenye jinsia zetu... Mliumbwa kutamani na matamanio yenu yatakua juu ya MUMEO. sitoshangaa mwanamke akifanya maamuzi yoyote juu ya mume wake... ntashangaa na ninishangaa sana mwanamke anayekaa na kumteta/ kumsema/ kumsengenya mumewe na kuyaanika hadharani mapungufu yake.
"na tamaa yako itakua mumeo,"

My take:
Sipendi wanawake napenda wanawake wazuri.
Kumbuka:
Hakuna mwanamke mbaya, kuna wanawake wazuri na wanawake wazuri zaidi.
Kwahiyo:
Kila mmoja asimame kwenye nafasi yake na afanye yampasayo.

Says, Jerrymalisa!
Sasa mwanaume kama mtawala anatakiwa kuwa na sifa muhimu,
-watawala wanavaa Pete zao kama ishara ya mamlaka lakini wanaume wengi wanazivua wakitoka majumbani utawala wako unamuachia nani.Pete ina maana ya kiroho.
-Mtawala anatakiwa kuwa na hekima na busara anapotoa amri, wangapi wanatukana mpk ndugu wa mwanamke.
-unamtawala vipi mtu ambaye humtunzi, anayekulisha na kukuvisha ana haki ya kukutawala.
-Mtaka yote kwa pupa hukosa yote, unataka umtawale mkeo wakati uko bize na makoloni kadhaa ya kutawala utagawaje muda.
- wanaume wengine hawawezi hata kufanya maamuzi madogo tu katika familia mpk waambiwe na mama zao.
- na mtawala anatakiwa kuwa na Mali nyingi. Tafuta pesa/Mali za kutosha zaidi ya alizonazo mtawaliwa ndo udai utawala.
Hizi ni baadhi ya sababu wanawake wa nakuwa hawatawaliki.
 
Well said PesaNdogo! Ila kumbuka kuwa mengi ya uliyoyasema ni kutokana na baadhi ya WANAWAKE kutokutaka kusimama katika nafasi zao....

Kama ukisimama kwenye nafasi yako kama mwanamke na ukayafanya yale yakupasayo, mwanaume hata awe mkorofi kiasi gan lazima atakua mpole na kukusikiliza kama mtoto mdogo
"Hakuna mkate mgumu mbele ya chai"

Simama kweny nafasi yako... niheshimu, ntakupenda.
 
Nadhani mtawala anatakiwa kuwa na sifa kwanza ili atawale, kabla hajaoa awe anajua majukumu yake maana mwanamke anahitaji muongozo wa kichwa hawezi kukaa mwenye nafasi yake sawasawa kama position ya kichwa haipo mahali pake.
Kwa sehemu kubwa hayo yanasababishwa na malezi na tamaduni, turudi kwenye maandiko kila mtu achukue nafasi yake.
Pia Yale maneno yalizungumzwa kama utaratibu mpya baada ya kosa kufanyika.
 
PesaNdogo umeolewa? Whatever the answer...

Shida ya ndoa nying watu wanaona na kuewa na wanawake/ wanaume wa watu... did you knw why??

Sisi wanaume tuliumbwa, alafu katika ubavu akafanywa mwanamke ambaye hatakua msaidizi... (hapa ndo pale wanawake wasipopapenda) umeunbwa kutawaliwa na mwanaume, pia umepewa nafasi ya usaidizi na chochote upatacho saidiana na mumeo... tuiachie hapa hii

Ni kaz sana kwa mwanaume kumjua ni yupi aliyeumbwa kwaajil yake na ningum sana kwa mwanamke kujua alitoka ubavuni gan... ndio maana unaona watu wanakuja na malalamiko kila kukicha kuhusu ndoa zao

Ushauri!
Kama ujaoa/ujaolewa... piga goti kujua ninan kaumbwa kwaajil yako

Kama umeoa/umeolewa... tumia nidham kutubu kwa kuchukua mke/ mume wa mtu na umwombe Mungu ambadilisha maana hamna linaloshindikana.

Alisema "nijarubuni muone ......"
 
Nadhani mtawala anatakiwa kuwa na sifa kwanza ili atawale, kabla hajaoa awe anajua majukumu yake maana mwanamke anahitaji muongozo wa kichwa hawezi kukaa mwenye nafasi yake sawasawa kama position ya kichwa haipo mahali pake.
Kwa sehemu kubwa hayo yanasababishwa na malezi na tamaduni, turudi kwenye maandiko kila mtu achukue nafasi yake.
Pia Yale maneno yalizungumzwa kama utaratibu mpya baada ya kosa kufanyika.
"Enyi wanawake watiini waume zenu, Wanaume wapendeni wake zenu"

Ukisoma vzuri maandiko utaelewa kipi kinaanza......wanawake kama watakaa kwenye nafasi zao kila kitu kitakaa sawa. Maandiko yako wazi.
 
Kila mtu atimize wajibu wake hakuna atakayelalamika. Wanaume wengi wanategemea vipato vya wake zao, hapo mnasemaje? Hao nao wanakula kwa jasho lao au la wake zao?
 
Sijajua unataka kusema nini maana Mimi siyapingi maandiko hayo. Nilichosema mtu kabla haujaamua kuoa ujue kutimiza majukumu yako. Muanzilishi wa Uzi anaongelea utawala wa mwanaume kwa mujibu wa kitabu cha Mwanzo.
Nimezungumzia vinavyokwamisha utawala huo
 
Kila mtu atimize wajibu wake hakuna atakayelalamika. Wanaume wengi wanategemea vipato vya wake zao, hapo mnasemaje? Hao nao wanakula kwa jasho lao au la wake zao?

Akasema "na tumfanyie msaidizi wa kufanana nae....."

Mkuu nini maana ya kua msaidizi?
 
Wengi hawagundui maana ya kusaidia, ila ukiwa wa kusaidiwa kila siku basi ujue uwezo wako wa kutawala na kujitawala ni mdogo mno na hiki ndo kilimponza Esau akatawaliwa na mdogo wake (kula alivotafuta mwingine.)
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wengi hawagundui na ndio maana pia kuna tawala za kina JUHA.
 
Siku zinavyosonga idadi ya watoto wa kike wanaolelewa na single mother inakuwa kubwa, hata hivyo hawa watoto wa kike wanasoma na kupata kazi nzuri au hela baadae, hebu sasa niambie binti wa hivyo utamtawalaje? Labda kwa mabomu!! Teh teh.
 
Back
Top Bottom