Wanawake kwanini mnakuwa hivi?

Wanawake kwanini mnakuwa hivi?

Atoe taarifa ya kupotelewa na nyaraka hizo police then aanze mchakato wa kutafuta nyaraka mpya pamoja na hayo inabidi aweke caveat kwenye land registry... Fee please
 
Wewe tuombe radhi sisi hatuibi documents, kwanza nikiwa na mume natakiwa niwe mbunifu japo Mali ziongezeke na wala co kuiba documents
 
aende polisi akatoe taaarifa za kupotea kwa nyaraka zake muhimu....

hiyo akicheza anafilisiwa na mkewe
 
Najiuliza wazee wazamani walikua wanauliza wapi majanga ka haya? Make bandle hazikuwepo wala cha jf.
 
Huyo mwanamke ni zaid ya nyoka aliyemdangaya Hawa kula tunda la
mti wa kati kati.
ningekuwa mimi ndio kanifanyia ukuda huo, ningem...
 
Najiuliza wazee wazamani walikua wanauliza wapi majanga ka haya? Make bandle hazikuwepo wala cha jf.

Kila kitu kinaenda kwa nyakati zake, maisha ya zamani ni tofauti na sasa mkuu
 
Kama vitu ni vyakwake hakuwa na haja ya kuchanganyikiwa,alitakiwa akatoe taarifa polisi then apewe loss report kisha aanze mchakato wakutengeneza documents zingine,hizo kadi za pikipiki na gari hazina shida TRA wanaweza ku reprint muhim uwe na genuine reasons.Wasiwasi wangu inawezekana huyo mwanamke amechukua documents zake baada ya kuona jamaa haeleweki.
 
Documents kufichwa au kupotea kuna ubaya gani?
Mwambie aende polisi atoe taarifa atapewa hati au taarifa ya upotevu ataenda nayo tra na ardhi atapewa hati zake upya.

Hakuna haja ya kugombana na huyo mwanamke. Tena akizileta amuobyeshe huyo mwanamke kwamba nimepata nyingine ili kumuonyesha kwamba hakuna alichokifanya.

Mambo mengine wala sio magumu.
 
Wanawake tumefanya nin tena hapo? Kwanza huna hata uhakika. .
Fanya process apate zingine..
👏👏 hongera kwa kumiliki gari bro, maana najua ulitaka kutujulisha pia
 
Najiuliza wazee wazamani walikua wanauliza wapi majanga ka haya? Make bandle hazikuwepo wala cha jf.

Vijana wa siku hizi kila kitu lazima waulize. Hakuna jando na unyago, kuna kitchen party na bag party!
Hata chakula kimepunguza uwezo wa kufikiri.
Solution ni mitandao ya kijamii.
 
Back
Top Bottom