Wanawake kwanini mnakuwa hivi?

Wanawake kwanini mnakuwa hivi?

aende polisi,,, anaripoti kuibiwa docs......hizo pkpk na gari si vipo?
 
Anatania bhanaa

Nifungulie Mlango wa PM basi babe, nataka nije nikupe hi please....
Ila cute babe na ww kwa kubana Hujambo.

Nimekumiss misss hadi nahisi utumbo unataka kuganda tumboni.
 
Last edited by a moderator:
aende polisi,,, anaripoti kuibiwa docs......hizo pkpk na gari si vipo?

Ya vipo mkuu, nitamtafuta nimpe ushauri mlonipa mkuu thanks alot.

Mi nililichkulia kama family problem sikufkiria kumshauri kwenda polisi.
 
Kuna wakati mwingine mtu anaweza kuanza kuhamisha kitu kimoja kimoja,ambapo kitu cha mwisho kuhamishwa Ni ROHO kutoka katika mwili na kupelekwa zinapotakiwa baada ya happ mdada anabaki na kazi moja tu JUICE KWA MRIJA huku kakunja NNE.Kisha anatafuta na bwana atakae Kuwait under control
 
hapo kisheria kama kweli ni za kweli aende polisi akapewe loss report then aende sehemu husika waziprocess upya akishafanya hivyo huyo dada hizo document hazitakuwa na maana tena na akija kuzitoa baadae zitakuwa invalid na ni kosa kisheria la jinai.
pia huyo kaka utamwachaje mtalaka ndani mtu kaja kuomba kuochana unamuacha ndani akikuwekea vitu sivyo itakuwaje, pia sioni haja ya hao wazee yeye anatakiwa akazireport ili zisifanye kazi
 
Salamu za weekend wakuu,

Iko hivi, Jana nilipokuwa narudi kutoka kwenye mihangaiko nilikutana na Brother yangu mmoja hivi ambaye kitambo sana tulikuwa tunaishi kama majirani kwa wazazi ambapo tulikuwa tukifahamiana sana.

Sasa jamaa nilimkuta yuko katika hali ya kama kuchanganyikiwa. Ilibidi nisimamishe gari nimfate tukasalimiana then nikamuuliza kulikoni?, anaelekea wapi? Ili ikibidi nimsogeze kwasababu hakuwa na usafiri. Jamaa akaanza kufunguka kwamba alikuwa amesafiri kidogo kikazi sasa aliporudi akawa anaangalia baadhi ya documents zake za Kiwanja ambacho amenunua, Kadi za pikipiki mbili pamoja na kadi ya gari, akadai havioni.

Nikamwuliza kwani kwenu mnaishi wangapi si mko wawili tu yaani wewe na mkeo? akajibu ndio nikamwuliza vp mkeo anasemaje akanijibu amemwuliza nae anadai hajui zilipo ila akanambia kwamba siku chache kabla ya yeye kusafiri walikorofishana kidogo na mkewe akawa amesafiri kwenda kwao na aliporudi tripu hii akawa anadai waachane ndipo yeye akapata safari kazini.

Nilichomshauri mimi ni kwamba awaite wazee 2 au 3 pamoja na huyo mke wake then walizungumzie hili swala amwulize kwamba hizi documents ziko wapi kama anazo azitoe na kama hana washirikiane ili kupata nyingine. Brother alikubali.

Ila kuna mzee flani ambaye ni kaka wa dada yake nilipomtaja tu kwamba na yule asimsahau kwenye moja ya watu atakao waita akadai hawezi kumshirikisha kwasababu kipindi anataka kumwoa huyu msichana dada zake na mke wa dada yake mkubwa walimkataza asioe huyu mwanamke ila yeye alikaidi.

Wakuu mi nimebaki najiuliza inakuwaje mwanamke anachukua documents za muhimu then unazificha.? japokuwa sina uhakika wa moja kwa moja ila picha linaonyesha mke anahusika.

Mwenye ushauri zaidi anaweza kunipatia nimfikishie mhusika ili kuweza kuvipata vitu vyake.

Thanks.

Hivyo vitu ni vya wote sio mmoja wapo, ukute alitaka kuviuza bila idhini ya mkewe na mke kaamua kuvihifadhi, anahangaika nini wakati kama vimeandikwa jina lake na mkewe mmoja wapo hawezi kuuza?
 
Hujanielewa niseme sijui una-jokes..... Namaanisha hizi tabia za kuficha documents za waume zenu.

Mume ana documents mkewe hana, ni Mali ya mume pekee? Ndo maana mnaibiwa, poleni, na Ndo maana siamini mtoto wa mtu! Wanamume mnataka wanawake wawe too perfect ili mridhike lkn hamjui jinsi ya kuishi na hao kina mama.
 
Back
Top Bottom