Wanawake kwanini mnakuwa hivi?

Wanawake kwanini mnakuwa hivi?

Yes mkuu nilimshauri hivyo pia ila ushauri wangu mwingine ulibezi kwenye kukaa vikao kwani kwa namna yeyote ile itakuwa mke ndo kachukua

Unawezaje kuitisha kikao cha wazazi kisa tu documents hazionekani? Huwezi kuitisha vikao basing on hisia...lazima uwe una ushahidi wa kutosha kuwa mkewako amezichukua!
 
Aliyetenda kosa ni mwanamke mmoja, kwa nini uwaunganishe wanawake wote kana kwamba wanawake wote wametenda kosa hilo na wana tabia kama za huyo mwanamke? Kitendo cha huyo mwanamke kutenda hilo kosa hakumaanishi kuwa wanawake wote wako hivyo na wana tabia hizo. Kuna wanawake wengi tu wenye tabia nzuri na za kupendeza hivyo naomba usiwaingize wanawake wasiohusika kwenye hii mada yako.
 
Ila wakat mwingne tuelewe jaman,hii ni hal ya kusaidzana tu kwan kesho kwang leo kwako,so! unapotoa kashfa mara eeh kwan cc ndo tumeiba mara eeh tutake radhi;kwan nan kakurazmisha kutoa ushaur? acha watatoa wengne endelea na busnes zako LA ASIVYO! utakuw huna kaz za kufanya na kuw kimbelembele
 
cute b kuwa makini kabanga anakuchombeza ukijilengesha tuu lazima akugegede...Waulize wenzako waliokuwa wanajifanya wanajua kuchati nae, yaani humu JF kavurugavuruga.

Ha ha ha, we jamaa unamwogopa kabanga kiasi hiki?

Atakuwa alikuchukulia demu, BTW jifunze kutongoza, usisubiri kutongozwa!
cute b nimekumiss.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha, we jamaa unamwogopa kabanga kiasi hiki?

Atakuwa alikuchukulia demu, BTW jifunze kutongoza, usisubiri kutongozwa!
cute b nimekumiss.

Ohooo cute b mwingine huyu....! please kuwa makini my dada....Au kama vp ni PM kwa maelekezo zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Ohooo cute b mwingine huyu....! please kuwa makini my dada....Au kama vp ni PM kwa maelekezo zaidi.

We si ulisema unatongozwa na madem mkuu!

Tuachie watongozaji na sisi tuahangaike kivyetu, maana hatuna bahati ya kutongozwa.
cute b nimeku-miss.
 
Ha ha ha.... mi nitakuwa makin sidanganyiki... Raimundo i looking for you..chezea kingreza wew
 
Last edited by a moderator:
Tunakuwa hivi kwakuwa hatuko vile.
 
Najiuliza wazee wazamani walikua wanauliza wapi majanga ka haya? Make bandle hazikuwepo wala cha jf.

Kuna tofauti kubwa mnooo, tunakoelekea sijuiii, huyo nae ni kichwa cha familia ati!!
 
Ha ha ha, we jamaa unamwogopa kabanga kiasi hiki?

Atakuwa alikuchukulia demu, BTW jifunze kutongoza, usisubiri kutongozwa!
cute b nimekumiss.

inanishangaza hii habari ya Kizzy Wizzy, natamani nikuone, sijui kama tumeshahi kupishana sehemu...... Raimundo huyu mtu simjui hebu muulize ananitafutia nini....? cute b wajua nilivyo...
 
Last edited by a moderator:
Polisi ndo penyewe.... Yan MTU anataka muachane alaf amekuibia vitu vyako vya muhimu alaf mnataka kulimaliza kama ndugu ... Mwambie aache huo ujinga
 
Back
Top Bottom