Kwanini usingemshauri jamaayako aka report polisi kuwa documents zake zimepotea alafu aka process mpya? Kuna ugumugani kutoa huo ushauri?
Kama ivo vtu ukuvipata kihalali usiende polis utaozea jela buree
Kwanini usingemshauri jamaayako aka report polisi kuwa documents zake zimepotea alafu aka process mpya? Kuna ugumugani kutoa huo ushauri?
name utakuja kuniambia private....
Ole wenu, nina wivu hata kama hatujamaliza hatua, cute b ole wako!!
hakuna, mbona mlango uko wazi....???Sawa nimekuja nikakuta solex
Tobah! Sio kwa kuniandama huko...