Hivi ukikuta mwanamke anang'aa daily na humpi hata senti haikustui?
Wanaume wanapungua sana wamebaki wanung'unikaji tu
cc. Heaven on Earth
kama siyo kilema au ana akili timamu wala sitashtuka,..
Nitakumbuka hilo nikimfunda bint yangu.kazi ipo kweli kwenu nyie wanawake!
Jirekebisheni,.
Mhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!
Usije kufanya mistake ya KUOA based on FINANCIAL ANALYSIS!!!!!! Utumiaaaaaaaaa
Oa mtu ambae you will marry over and over! Sasa hivi wewe bado junky NJAA IMEKUBANAndo maana hata tu few chenchi twa saluni unatuhesabu na tunakuuma! But with age utapata pesa chafuuu thn kama ulioa mke out of financial security reasons MTU HARIDHIKA NAE woga tu ndo ulipelekea uoe utamfanyia mambo mabaya sanaaa mkeo.
Jifunze kwa bwana Machache. Ndo maana nawaasa wanaume MSIOGOPE UCHUMI WENU NA FINANCIAL STATUS! Kama unaona itaimpact maamuzi yako ya kuoa basi CHELEWA KUOA hadi uzikamate. Otherwise mtu umeihi nae 20 yrs, ila ukimtizama roho yako inaktaa kabisaaa! Jeuri ya MIFWEZAAAA!
Kumbe mara nyingi sana huwa nachukua muda kujiuliza mbona nakutana sana na madada makubwa makubwa yanayotosha kuolewa, ukiuliza unaambiwa halijaolewa sasa unabaki kujiuliza silitazekea nyumbani hili.Unakuta mwanamke ameingia katika mahusiano na mwanaume lengo likiwa ni kupeana mapenzi,..
Kabla hata kufikia hatua ya kupeana hilo penzi unamkuta mwanamke ameshamtengenezea mwanaume bajeti ya mahitaji yake as if huyo mwanaume ndicho kilichomleta kwa huyo mwanamke
sasa papuchi zikiliwa wewe unaumia nini? au unatamani na wewe ungekuwa nayo? hebu funguka maana una mihasiraaaaaaWajibu wake kwenye kugegedana??/yaani siku zote ulikuwa unasubiria mwanaume mwenye wajibu wake kwako....Ndio maana papuchi zinaliwa na kuachwa ...Miaka 26 unachuna watu
wanawake mtazidi kusota mtaani kutokana na tabia zenu zinazowaondolea sifa ya kuolewa!!
bado sijajua umri wa hawa wanawake wanaosema no money no honey. wameolewa? wameachika? nikishapata jibu hapo ninaweza kutoa mchango wangu.
Wengine ambao hatujawahi hudumiwa tunaona ndoto nkiwa kwenye relation nlishazoea kushea cost akinunua vinywaji ni nanunua msosi. Labda tu mtu awe na kipato kunizidi lakini kama vipato vinalingana tutashea cost. Wanaochunwa ni wale wanaoendesha mahusiano yasiyo na destination. Lakini ka mna malengo mtasaidiana cost.
Wengine no,a akikuagiza Chakula utasema anafungua hoteli eti burger,juice kopo tatu za ceres,sandwich,chips za hamie j sahani mbili moja na mishkaki moja na nusu Kuku,juice ya ukwaju wa Babu ayubu, na makange ya Mbuzi khaaaa
sijaiona mkubwa nirushie tenaPm yangu hujaiona tuu???