Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,438
Copy to Madame B, Paloma, charminglady, Asnam, Kipipi, Smile, ladyfurahia, snowhite, Kongosho, Fixed Point
Last edited by a moderator:
mtambuzi ni mwanaume, hawezi kuanza kuongelea wanaume wenzie. italeta picha mbayanadhani unatutafuta tuongee kitu hapa haya wewe endelea tu sijui kinakuwashia nini usipowataja WANAWAKE?
nadhani unatutafuta tuongee kitu hapa haya wewe endelea tu sijui kinakuwashia nini usipowataja WANAWAKE?
mtambuzi ni mwanaume, hawezi kuanza kuongelea wanaume wenzie. italeta picha mbaya
Afu naskia ndo fani yako mtaani hakukaliki....
Mwanamke rijali shuti awe msengenyaji japo kiduchu na ndio maana inaitwa tabia ya kike ila mwanamke anatakiwa kuithibiti azawaisi utasutwa kitaani
Mwanamke rijali shuti awe msengenyaji japo kiduchu na ndio maana inaitwa tabia ya kike ila mwanamke anatakiwa kuithibiti azawaisi utasutwa kitaani
laiti ungelijua kuwa mm hata majirani hawanijui kama niko hapo kwani naondoka majogoo kupanda na kurudi magharibi kumezama sana yaani usiku sasa watanionea wapi zaidi ya laaziz wangu KH.
kama husengenyi basi wasengenywa, unaweza kuwa ni subject....waringa, hutaki kusocialise, wajifanya busy etc...............
aisee kuna ambao bila kusengenya hawapati usingizi, baadhi ya wanawake tumezidi aisee, na usengenyaji mara nyingi huambatana na wivu, tena mkute mna urafiki wa ki group, ndio balaa kabisaaa, wanawake sisi ni kiboko
mwanaume anarekebishwa na mwanamke.kwani kuna ubaya gani asipowarekebisha wanaume wenzake hapa jamvini kuliko wanawake wanawake wanawake wanawake wanwake wanawakeeeeeee haa tumemkoosea nini anatutafuta roho zetu huyu wewe hujui mkaka
aisee kuna ambao bila kusengenya hawapati usingizi, baadhi ya wanawake tumezidi aisee, na usengenyaji mara nyingi huambatana na wivu, tena mkute mna urafiki wa ki group, ndio balaa kabisaaa, wanawake sisi ni kiboko
mwanamke rijali...umenichanganya. Mimi najua umbea kwa mwanamke sunna