Nije ghetto kwa boyfriend kufanya yote hayo umetoa mahari ndugu? Kama utatekeleza wajibu wa mume nami nitafanya,ila kunipa vijicent sijui elf 20, outing, vocha...mweh..sithubutuuu.Walau bhas uwe unaenda ghetto kwa boyfriend wako, umpikie, umfulie na umfanyie usafi ghetto lake hata Mara mbili tu kwa mwezi, sasa wadada wengi pesa mnaomba kila mara wakati papuchi zenyewe mnatugea kwa tabu na masharti kibao, sasa kama mwanaaume lazma ujiulize ni kipi unafaidika kwenye uhusiano Demi
Simu.pesa.gar.kodi,nguo,menu,gari......etc etc etc
| Wachache | sana | wanaoweza | kuoffer | kitu | kingine | |
| Mbali | na | pussy | ||||
Ni kama vile kuna kitu cha ziada mnataka tuwape, ambacho hadi sasa sijaelewa. Ina maana ukiwa na mpenzi wako zaidi ya sex hana msaada mwingine?Sasa ukisema kuwa sisi tunaoffer dudu tu huoni unakosea??..kutimiza wajibu kwa ku-take care baadhi ya expenses zenu ni kitu kingine tunacho-offer
Ni kama mnaona wivu na nyie mnataka kuhongwa. Wapo wanaohonga unaweza wapata. Mimi zaidi ya kumpenda mtu sina cha zaidi..mapenzi yanaambatana na vitu vingi..sio lazima iwe material things.Simu.pesa.gar.kodi,nguo,menu,gari......etc etc etc
Swal kwako,mbal na k una ofa nn
Kwani nyie mna nini zaidi ya dudu? Mahusiano ya kimapenzi kikubwa ni kei na dushe bas, mengine mbwembwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtupe K twende nazo ofisini.Tegemezi kivipi wakati pesa hamna? Na kama mnazo hamtoi? Mi hata sijaona la maana mlilo nalo.
Na kukutegemea wewe mume ni haki yangu, na Mimi mke ninayo majukumu ya kufanya pamoja na kulea watoto. Au mlitaka tuwafanyie nini cha zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo tu...we mbebe beibe wako uende nae kwa ofc.Mtupe K twende nazo ofisini.
Wengi wenu mnaoenda kuhudumiwa. Msipohudumiwa mnalialiaKwani nyie mna nini zaidi ya dudu? Mahusiano ya kimapenzi kikubwa ni kei na dushe bas, mengine mbwembwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu ni jukumu lako wewe mume kunihudumia, au kuna mabadiliko tujue?Wengi wenu mnaoenda kuhudumiwa. Msipohudumiwa mnalialia
Hapana atafukuza wateja kwa kuvimbisha mashavu.
Kwani nyie mna nini zaidi ya dudu? Mahusiano ya kimapenzi kikubwa ni kei na dushe bas, mengine mbwembwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole ya nn?
Hakuna mabadikikoKwasababu ni jukumu lako wewe mume kunihudumia, au kuna mabadiliko tujue?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe kama hujui majukumu ya mke wako sijui nikusaidieje.Hakuna mabadikiko
Na jukumu lako nje ya ile nanilii unipayo ni nn?