Wanawake kuweni waaminifu

hahahhaha kuna mtu 1 nae kashika dini kwelii nikajiweke siku ya game nikaondoka na gono alafu namwambia twende hosp. anasema nimelitoa kwingine wakati najua kabisa game ni kwake tu. muache limuozee.
Kapime na ngoma mkuu!!!!!
 
Kapime na ngoma mkuu!!!!!
mkuu n kitambo kama miezi 6 nyuma, ngoma nimepima majuzi harakati za j.k.t niko vyema

ila hawa watu wapole na wanao jifanya kushika dini ni wapuuzi sana basi tu.
 
mkuu n kitambo kama miezi 6 nyuma, ngoma nimepima majuzi harakati za j.k.t niko vyema

ila hawa watu wapole na wanao jifanya kushika dini ni wapuuzi sana basi tu.
Unaongea ukweli chief........ Mwanaume akiwa mtata atakuwa tu mtata, ila mwanamke anaweza kuwa hata anashinda kanisani na kuswali sijui kujifunika madude gani lakini akawa mgawaji mzuri tu............ Kifupi katika dunia hii ukitaka uione dunia chungu basi uwe unafatilia maisha ya wanawake!!!!!
 
nyie si ndo mnasemaga wanachepuka kwa hisia au
 
Kazi kwa wanawake wengi ni mitihani....sitaki presha akilegeza shauri zake.
 
Uzuri ni kuwa sie ni kama maji mkwe, lazima mtuhitaji tu.
 
Hiki kizazi kina laana si bure,binafsi hapa nilipo naugulia maumivu makali ya mke wangu.Mbaya zaidi ye anajifanya swala tano kumanina zake
Umenichekesha sana, Duh? Hao wa swala 5 wanavaa hadi nini sijui ile ni hatari sana. Nina mke wa jirani yangu ni hatari tupu, jamani sijui nini shida!!
 
Yaani wanawake shenzi type kabisa. Na nawaambia na kipindi hiki cha JPM aminini maneno yangu. Maambukizi ya ukimwi yataongezeka sana sana, na tuwe makini nawaambia wanaume. Ukiona haendani na wewe, usikaunt ana watoto wangapi fukuzia kwao.
 
Waliwe tu. Nao wanazidi kuwa wazuti mnoo. Ukimuona mwanamke kama Hana mfupa. Mimi mwenyewe nilikuwa huko nilitafuna kiukweli
 
Ndio maana kila nikitaka kuoa moyo unasita....

Ndoa yaweza kukufanya ukafa mapema kabla ya siku zako....
 
Uzi umejaa matusi ya ovyoovyo tu..... Sisi tutaamini vipi kama kweli usemalo lipo fanya kuthibitisha huu udaku wako labda tukuamini
Hata mimi nashangaa matusi lundo! Samaki mmoja akioza mchomoe umtupe
 
Ukitaka kuichukia dunia anza kufuatilia mambo ya wanawake % kubwa ni hovyo sio wake za watu sio single mama sio wanafunzi yaani akiwa mwanamke kwisha akili
Ila nyie ndio mna akili[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…