wanawake wengi wa kitanzania hawana ahsante sisemi wote lakini wengi unampa pesa bure 30 to 50 thousand bure akwambia hata ahsante nini hii, stupid thing in my life sema ahsante. wanataka ziada jamani kuweni na ahsante
Ni kweli. Yaani unatoa fedha yote hiyo bure kabisa halafu unalalamika! Hebu jiulize nyumbani umeacha shilingi ngapi kwa ajili ya matumizi ya familia yako.