kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Mwenzenu mimi nimepigwa na kitu kizito kichwani. Hakika nilikuwa nasikia habari za wanawake kuwa sio watu wa kuamini kwa watu tu nilikuwa nafikiri wanawanyanyasa ila kiukweli mimi leo mwenyewe yamenikuta kabisa.
Kuna mwanamke ambaye tulikuwa tuna mpango wa kuoana na nilikuwa tayari nimesha weka mahari kwao na mwezi huu wa 9 tarehe 20 tungelifunga ndoa. Ila cha ajabu na cha kusikitisha kuwa mwanamke yule ni mjamzito
Na kibaya zaidi nilifikiri ni yangu ila mwenyewe amesema mimba sio yangu ni ya kijana mwingine wa mtaani kwetu hapa hapa hivi.
Ukweli nimekuja kuamini mwanamke sio mtu wa kumuamini sana. Hakuna kitu ambacho huyo mwanamke alikosa kwangu.
Na kibaya zaidi najiuliza kwanini hakuniambia mapema kuwa ana mtu mwingine anayempenda zaidi yangu,
bali alinionyesha mapenzi ya dhati kumbe ya uongo.
Hakika kwa style hii single mothers wataongezeka saana mtaani.