Wanawake kuweni na huruma kwa wanaume

Wanawake kuweni na huruma kwa wanaume

Baada ataenda huko akipauka atakuja kusema mtoto wa kwako
 
Kukuambia siku zote kwa kweli sijui alikuwa anasubiri nini fukuza huyo nyoka HARAKA sana atakuwa na mengi kakuficha UNAWEZA ukapasuka kichwa na stress.
 
Mwanamke mwamini pale anapotaka kufa au kujifungua tu zaidi ya hapo atakupanda Hadi kooni.Mpelekeshe race KILA muda wanapenda kupelekeshwa bila hivyo atakuona boya.Usivumilie nukta YOYOTE ya ujinga au makosa kutoka kwao maana wanachukuliaga kama advantage. UKICHEKA NA NYANI UTAVUNA MABUA[emoji27][emoji27][emoji27].
 
Unasema hakuna alichokosa alafu unasema amepewa mimba na mtu mwingine [emoji3][emoji3]

Mkuu embu tulia bhana!
Alichokosa kwako ni Mimba,
Mapenzi ni zaidi ya Huduma unazotoa Kwa mwanamke.
Ukifeli hapo basi umefeli kila kitu
Mwambie huyo ongeza na sauti
 
Back
Top Bottom