Wanawake kuweni na huruma hata chembe

Wanawake kuweni na huruma hata chembe

I get 99 problems but ladies are ain't my problem. Na kama wanawake ni tatizo kwako sorry for you Son
 
Nawe unamjibu sawa maisha mema ila usiache kuanza kutumia dawa za kusogeza siku.. Kwani nilishaathirika...
 
Mchumba hasomeshw utajinyonga

Maisha ya chuo co yakusema unamchumbaako huko
 
Kwani unapomsomesha mwanamke au mwanamme una expect anything in return? jamani mbona yeye hasemi nilipe unavyo fanya mapenzi na mimi ebu tuweni wastarabu jamani....
 
Kwani unapomsomesha mwanamke au mwanamme una expect anything in return? jamani mbona yeye hasemi nilipe unavyo fanya mapenzi na mimi ebu tuweni wastarabu jamani....
 
15826587_1824042221147029_900122317113600314_n.jpg
Yakimshinda huko aendako anarudi kukuomba msamaha na unampokea mwenyewe..... [emoji2] [emoji2] mapenzi buana
 
Yakimshinda huko aendako anarudi kukuomba msamaha na unampokea mwenyewe..... [emoji2] [emoji2] mapenzi buana
na moyo jinsi ulivyo na upuuzi unakubali tu! duh! ben pol kweli moyo mashine😀
 
Back
Top Bottom