OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,311
Mkuu suala la mwanamke kuliwa nje ya ndoa yake wewe lisikie tu ..usiombe likukute. Suala ya maumivu eti kwa sababu na wewe unachepuka siyo maamuzi sahihi kwenda kugawa mbususu kwa njemba ingine hiyo ni mbaya zaidi maana yeye mkeo anaenda ingia ingiliwa sehemu ambayo wewe mume wa ndoa unaingia. ..imagine utapata mzuka tena wa kuishi naye?? Sema now days ni mambo ya kawaida sana hayomwanaume kaumbiwa wanawake wangapi ndipo atosheke!!!acheni kutafuta kichaka bana.
mimi ni mwanaume,nachepuka,lengo ni kwamba siku yakinifika niwe tayari kuyachukua.
mnakula mpaka watoto wa shule,mnaacha wake zenu ndani wanajiuguza mapenzi,wakichomoka tu mnawasindikiza na kadi nyekundu,sio fare.
Kabisa mzeebaba ..umemaliza kila kitu.Nilikuwa sifahamu kwann wanaume tunapofumania au kupata elements zozote za usaliti basi hatutakiwi kirudi nyuma.
Jibu ni rahisi. Wanawake ni jamii ya binadamu ambayo inapenda kuishi kwa kukadiria au kupimia ila sio watu wa standard za uhalisia.
Unaweza kuwa mwanaume wa kiwango cha mume Bora na baba safi wa familia ila yeye akata kukukadiria ziada ya hapo yaani akataka zaidi ya kile unachofanya na usipompa ndipo atatoka nje kutafuta na ukisitisha kumpa kile anachopata kwako bado ataanza kilalamika kuwa anaonewa.
Tazama katika hicho kisa hapo, mwanamke ametoka nje ya ndoa so it means hakuwa anakubali kuridhika na anachopewa na mumewe akataka ziada.
Ukimsamehe kwenye swala kama hili atakukadilia uwezo wako wa kufanya maamuzi lakini pia kuwa hauna maisha nje yake. Hivyo basi kumsamehe ni kama kumwambia nimekubali kuwa mpumpavu kwako na kudharaulika nifanye utakavyo. Hapo Guarantee ni kuwa atarudia tena upuuzi wake kama kawa kwa namna nyingine sababu ameshakukadilia kuwa wewe kwake ni dhaifu na hauna pa kwenda.
Anyways, katika mahusiano, mwanaume anajukumu moja tu la kumpenda mkewe na hilo linaonekana kupitia kumjali, kumhudumia, kumtunza na kumlinda. Mwanamke ana jukumu moja kwa mume wake la kumheshimu na kutii maelekezo na miongozo yake hii atafanya kwa kumsikiliza mwanaume, kumshauri , kumtunzia Siri na aibu, kumhudumia mahitaji kama ya chakula, usafi na watoto, kutunza mali za mumewe ikiwepo fedha etc.ila muhimu kabisa ni kutomuweka mbele mwanaume mwingine yoyote nje ya mumewe , awe baba mkwe, mjomba, rafiki, kaka, binamu, hata mchungaji.
Sasa hapo ukienda kinyume na hizo principles imekula kwako ndio haya yanatokea.
Mwanamke akikucheat usirudiane nae..... Utakuja kujuta baadae
Ngoja kwanza ββ hv Inakuaje mkeo anakua na mahusiano nje miaka miwili bila ww kugundua π π π jamaa ni mdhaifu sanamwanaume mwingine ambaye amethibitishwa kutembea na mke wa jamaa kwa miaka miwili sasa.
Kuna tofauti kubwa ya uchepukaji kati ya mwanamke na mwanaume..Vile wanaume wanavyotoka mapovu wakati wao ndio nguli wa uchepukaji
Upo sahihi, na huyo aliyekuwa anachepuka naye atamkimbia......maana alikuwa na maslahi binafsiJamaa yupo sahihi kabisa,ukisha kua humuamini mtu ni bora kuachana nae tu kuliko kuishi maisha ya wasiwasi,amtwange talaka tu ili akaolewe na huyo aliyekua anachepuka nae,
Life is very short hakuna haja ya kuishi maisha ya wasiwasi.
Eti eehππππKuna tofauti kubwa ya uchepukaji kati ya mwanamke na mwanaume..
comment yako ingizwe kwenye kumbu kumbu za Bunge iyo ndio kanuni!Endapo kwa miaka yote miwili huyo mumewee hajawahiii fanya na mwanamke mwingine yeyote hata mara moja, basi na amwache mkewe...
kwaiyo una maanisha ni sawa na doz ya sindano na ya kidonge?Kuna tofauti kubwa ya uchepukaji kati ya mwanamke na mwanaume..
Ndio mkuu ..wewe ume/unachepuka?/ushawahi kuchepuka?Eti eehππππ
The so called decent huwa wana mambo ya siri ukiyajua utashangaaMawasiliano tena kiongozi unataka kujiweka, jamaa ni mtu decent na anatuasa sana kuhusu uhuni nahisi swala la usaliti kwake sidhani
Hapana ila jinsi mnavyoumia kusalitiwa na sie ndo tunaumia hivyo hivyo na kinyaa pia Ni hivyo hivyo habari za kusema mwanamke Ni tofauti hazifai sababu hamjawahi kuwa wanawake kufeel kile tunafeel tukigundua mmetusalitiNdio mkuu ..wewe ume/unachepuka?/ushawahi kuchepuka?
Tupoooo. Shoga yetu kakamatwa hahhahahVile wanawake wanafuatilia uziπππ
View attachment 1925979
Na utamkuta ni bodaboda analala getoHuyo mchepuko wake akisikia kuwa talaka tayari, atasepa upesi mno, na si ajabu akabadili namba ya cm
yaani wewe jamaa hua unafurahisha sana aisee comments zako hua zinaniacha hoiVile wanawake wanafuatilia uziπππ
View attachment 1925979
Aliteleza akaendelea kwa miaka miwili?wanawake wako makini sanaaa, huyo unayemwongelea aliteleza tu kidogoo
Na anavyokupigia simu si ajabu na wewe upo kwenye list yake ya atakaotembea nao baada ya msala kumalizika
anyway kila shwetani na mbuyu wakeee
π€Endapo kwa miaka yote miwili huyo mumewee hajawahiii fanya na mwanamke mwingine yeyote hata mara moja, basi na amwache mkewe...
Vi meno vimenichekesha sanaaaq π π πVile wanawake wanafuatilia uziπππ
View attachment 1925979
Kuna rafiki yangu wa karibu ameanza kuhangaikia talaka baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka mitatu. Amejaaliwa maisha mazuri kiasi na mwanamke mzuri sana ambaye amepata nae watoto wawili.
Kisa cha bwana huyo kuhangaikia talaka ni mwanamke kumsaliti na mwanaume mwingine ambaye amethibitishwa kutembea na mke wa jamaa kwa miaka miwili sasa.
Rafiki yangu huyo anasema baada ya kugundua hilo mwanamke aliomba msamaha na kulia sana akaamua kumsamehe kishingo upande ili maisha yaendelee lakini anashikwa na KINYAA kila kimuona mke wake huyo hali iliyompelekea kuanza mchakato wa kuvunja ndoa hiyo, jamaa alimpenda sana mke wake na familia yake lakini uhuni wa mwanamke umeharibu ndoto yao na kuondoa furaha kabisa kwenye familia.
Wiki iliyopita alienda kuwatembelea watoto kwa mama yake na mke wake wakamkalisha kikao wajaribu kusuluhisha jamaa akasema hawezi kuishi na mwanamke kama pambo maana alishakosa hamu na huyo mwanamke, Mke wake huyo amenipigia simu mara kadhaa kuomba niongee na jamaa lakini jamaa hataki kabisa kusikia.
ANGALIZO: Wanawake na wake za watu wote huyo mwanaume aliyekuoa ndiye mwenye nia nzuri na mipango mizuri na wewe hao watu wa pembeni wanataka uchi wako tu wakutumie alafu wasikutake tena na hata hawawezi kukuoa maana wanajua wewe ni msaliti wa ndoa.
Nilikuwa nataka kuoa lakini kama nighairi kwanza