Wanawake kutongoza wanaume kuna ubaya?

Mimi napenda kutongozwa na wanawake na wala sishangai kwa mwanamke kunitongoza mimi tena namkumbatia na kumpa ofa huku nikimpa pole ya ujasiri wa kunitokea maana najuwa si kazi rahisi kwake kuniwinda mpaka kunitokea. Karibuni kina dada msiniogope.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…