Wanawake kushirikiana na mashoga

nashangaa pale posta mpya oposite na jengo la ben mkapa kuna mashoga wameweka kijiwe pale unakuta akina dada wamemzunguka wanakula story za kufa mtu,binafsi nadhani wanakuwa interested kujua utofauti wa utamu wanaoupata baina yao sidhani kama kuna kingine
sijui nachapiwa,maana kama jamaa atakuwa anadindisha basi atakuwa kanichapia
 
uko sawa sana mkuu,hawa madogo wa under 18 wengi wanapigwa sana dudukila kwakuwa wanapenda ubishoo na hawajui kutafuta pesa,wenyewe wanajiita mabottom na top,mi nawafahamu wengi wanaappear katika video za bongofleva ni vibwabwa
Duuuh!Majanga.
 
wanawake hasa wa instagram na kukaa na mashoga hamuachi
 
Huwa na mimi nashangaa hata kwenye mitandao ya kijamii wanawake wanavutiwa nao sijui kun siri gani.
 
Mashoga hutaka kufanana na wanawake so huigiza kila tabia za wanawake na hujikuta wakibobea na kupitiliza Mara dufu.....ni mawazo yangu tu yamwisho mwisho ya mwaka uishao.
 
Sawa,,
Pia hizi series za sasa zilizo jaa Mashoga(usodoma na Ugomora) vijana Wapunguze kuzitazama.

N.a. huu ni ugonjwa wa wengi(series movies) yaani Mashoga imekuwa kama kachumbari!
 
nilichoshuhudia jana kwa macho yangu sijui...sikulala jana nilikuwa nafanya upelelezi na video ninazo...kijana anampaka mwenzake ky naye anajipaka nule nyuma af anamkalia yani nimeona mengi ..mission accomplished maana nishaksikia mengi na kuona clip za simu ila live live .....ni hatariiii sana kidogo nizimie
 
Kazi ipo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…