Wanawake kujimilikisha watoto, inatokea automatically au makusudi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake kujimilikisha watoto, inatokea automatically au makusudi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Jun 13, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,379
  Likes Received: 22,244
  Trophy Points: 280
  Hata lugha na mila wanajua zaidi za upande wa mama kuliko za baba.
  Tena wanyakyusa na wachaga ni soo kwenye medani hiyo
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Watoto hawaporwi ila mapenzi na malezi bora ya wamama ndio huwaleta karibu karibu. Watoto watakuwaje karibu na baba anayelala bar? Akirudi nyumbani watoto wanajificha?
   
Loading...