Wanawake kuendesha gari peke yao...

When was the last time l told you that l am crazy in love with you?

Ha ha ha ha ha haaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!

https://www.jamiiforums.com/member.php?u=21062
Boflo mimi nafikiri swali zuri ni kwanini magari ya wanaume yanakuwa na abiria wengi hasa wa jinsi ya kike?

Wengi wenu hamna usafiri kwani kuna ubaya gani tukiwasaidia?????

Umeitoa wapi hii????

Ni kwakuwa wanaume hawawezi kuishi bila watu wengine (waoga)?

Kuna binadam anaweza kuishi peke yake?

Au kwa sababu wanatumia magari kama chambo cha kunasia wadada (kutongozea)?

Na hapa ndipo wanawake mnaonekana vilaza

Hivi mtu anakutongoza kwa gari tu tena la kuazima

Una akili kweli wewe?

Au ni wakarimu sana, lakini ni kwa lifti tu?

Yes,hapo ni kweli kabisa!!!!!!!!
 
hahahah, kwanza now that umebadili avatar tunaweza kuquotiana maana kweli ile ilikuwa inanitisha.

Usijali nilijua tu!!!!!!

Halafu, kumiss mavitu yangu sio news kwani nilitegemea maana you cant have me halafu usitamani kuwa na mimi maisha yako yote; you are not the first you know that!:smile-big:

So,naweza kumbushia angalau kwa ka usiku ka leo tu....lol!!!!!!!:A S kiss:
 
Ngoja waje hapa
watu8 alisema kujivika mawazo ya wanawake ni kazi ngumu sana!!!!!!!!!!!

Mkuu sasa hivi uko smart sana kwenye hiyo avatar yako, Boflo nae yuko poa, wamebaki kadhaa mfano Dr.zero na wenzake ambao wanautumikia mtandao wa "freemasons" avatar zinatisha kama utajiri.....
 
Ni ukarimu wa asili tu mama.
 
Hapo kwenye mood swings,kweli kuna siku hutamani hata kusikiliza redio kwenye gari na kuna watu ukiwapa lift atataka aongee kuanzia anapanda mpaka anafika aendako.
 
ish kaka mkubwa!yani gari ninunue mwenyewe af nikufanyie wwe roho ya kwanini
BTW ntaweka wapi viatu vyangu,na zile sufuria za mtumba je,karoti zangu na kabichi vikae wapi,kitenge changu cha sare ya kitchen party,ahahahhaa unataka nikiwa napaka wanja wangu uwe unaniangalia!sitaki bana
Ni suala la kujisikia na kuwa na roho ya kwanini! Mbona wachache wao huwa wanatoa lifti bila matatizo?
 

Mkuu tofali, nakuunga mkono. Hata tofauti na gari kuchakaa, hata kuchafuka linachafuka sana, uanakuta mtu katoka huko na matope, halafu unapondenda car wash wanakula 15,000/=.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sasa hivi uko smart sana kwenye hiyo avatar yako, Boflo nae yuko poa, wamebaki kadhaa mfano Dr.zero na wenzake ambao wanautumikia mtandao wa "freemasons" avatar zinatisha kama utajiri.....

Duh!

Kwahiyo mkuu ulikua unadhani niko huko?

Kazi kwelikweli!!!!!!!!!!!
 
halafu kwanini na wanaume hampendi kuwapa lift wanaume wenzenu?

ahahahhahahhaha mi kuna mtu ofisini yupo radhi anisubr hata masaa sita!
ili anipe lifti tu japo mpka ubungo!ehehehhe nna set ya kudumu kabisaaa! Kaunga what else do we need wanawake sisi!
ahahahhah sante sana BWANA kuniumba mwanamke!
 
Last edited by a moderator:
Ubinafsi na komesha watesi.
Unajua it is very uncommon mwanamke kumsimamishia gari mwanamke mwenzie ampe lifti lakini kwa wanaume vyovyote twende kazi. Nimeshashuhudia hii sana na kila siku ipo hivyo hivyo haibadiliki.
Wapo wachache ambao wana ujasiri wa kufanya kama wanaume wafanyavyo
 
inaonyesha fikra za wanawake sio kama za wanaume!

yap! We differ ,wakati mwanaume anawaza ada ya watoto mwanamke anawaza kuongeza handbags,viatu,nguo n.k n.k. Umeonaa?
 
Hii ni kwa usalama wao binafsi pamoja na mahusiano yaliyopo na wanaume wao! mwanamke hawezi kumpa lifti mwanaume labda yule ambae hata mtu wake anamjua na pia inategemea muda na mazingira yaliyotumika! hawezi kumpa lifti mwanamke asiyemjua kwa sababu sasa hivi wadada ndio wanaotumika katika michongo ya ujambazi, na wale anaowajua basi bilashaka wako katika level moja! Lakini wengine wanatumia nadharia hii kama njia ya kujitetea kumbe moyoni wamejaa uchoyo wanapenda tu wawe peke yao, ambapo pia inaweza ikawa hatari ya kutekwa na watu wabaya wakikusudia kufanya hivyo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…