Nilikumiss ulipotea ghaflaSawa.......tutahama jumapili ijayo.......
Labda tuu nikusahihishe. Kanisani hakuna upande wa wanawake wala wanaume. Ila ni mazoea fulani yaliyo jijenga. Kaninisani hakuna limitation mahala pa kukanyaga. Hata ww unawwza simama hata madhabahuni. Kama ww ni msomaji wa biblia rejea pale mahali ambapo pazilia lilipasuka katikati likatenganisha patakatifu pa patakatifu na sehemu nyingine ya wauminiMimi ni muumini wa Kanisa la Roman Catholic.Utaratibu wa Kanisa umetenga upande wa wanaume na upande wa wanawake.Kinachonikera ni pale unakuta wanawake wanaingia kanisani na wanakuta upande wa akina mama nafasi zipo lakini baadhi yao hawapendi kukaa upande waliopangiwa wanaamua kujichomeka kati kati ya wanaume kitu ambacho mwanaume huwezi kwenda kukaa upande wao.Najiuliza hivi huu ujasiri wanautoa wapi?Tena si wamama watu wazima ila ni mabinti.Huku si kuharibiana usikivu wa ibada?Unaanza kuwaza mengine wakati uko kwenye ibada!Au hua mnatumwa na shetani?Kama viongozi wa Kanisa mpo hebu jaribuni kulikemea hili,hasa Kanisa kuu Kigoma mabinti wanapenda sana kujipachika kati kati ya wanaume hata kama upande wao kuna nafasi.
Wewe una pepo linalokufanya Ukereke kwa wao kukaa huko, au linalokufanya ufikirie maovu.Mimi ni muumini wa Kanisa la Roman Catholic.
Utaratibu wa Kanisa umetenga upande wa wanaume na upande wa wanawake.Kinachonikera ni pale unakuta wanawake wanaingia kanisani na wanakuta upande wa akina mama nafasi zipo lakini baadhi yao hawapendi kukaa upande waliopangiwa wanaamua kujichomeka kati kati ya wanaume kitu ambacho mwanaume huwezi kwenda kukaa upande wao.
Najiuliza hivi huu ujasiri wanautoa wapi?Tena si wamama watu wazima ila ni mabinti.Huku si kuharibiana usikivu wa ibada?
Unaanza kuwaza mengine wakati uko kwenye ibada!Au hua mnatumwa na shetani?
Kama viongozi wa Kanisa mpo hebu jaribuni kulikemea hili,hasa Kanisa kuu Kigoma mabinti wanapenda sana kujipachika kati kati ya wanaume hata kama upande wao kuna nafasi.