Boflo, siku hizi kuna nguvu nyingi sana. Kuna nguvu ya umma na nyingine ni nguvu ya uke, hii ni kiboko. Kenya nguvu ya uke imesababisha midume iwe inapokea kipondo daily, Kahama kuna mtu kajiua, kuikwepa nguvu ya uke.
Maswali yako haya yatasababisha ukutane na nguvu ya uke kutoka kwa wadada wa JF.
Mi simo, au unajidai kuwasahau wale madume waliobakwa Zimbabwe na wale wadada wenye nguvu za uke?
siku hizi kuna mambo mengi mujini ukiona mwanaume hataki kuoa ina maana ana second option yaani kuolewa siku hizi si pasu kwa pasuNdio maana huwa nawasikitikia wanao oa
wengi labda wanataka waanze maisha upya....vile vimeo vilivyokua vinawasumbua kabla hawajaolewa wanakua wanataka wavifute kabisa kwenye mawasiliano
Ninashangazwa sana na hii tabia.....Hivi kwa nini wanawake wanapoolewa wanabadilisha
line za simu??? Kwa mfano Dada yangu alipoolewa kabadili, mademu wengi ninaowajua
nikisikia wameolewa, nikiwapigia simu siwapati.
Kwa nini jamani mnakuwa hivi? hamjiamini? Hii inanifanya niamini kuwa Wanaume wengi wanaoa wanawake ambao ni
wasanii na washafanya sana mchezo mbaya..
View attachment 67665
Mimi wa kwangu kabadilisha kama mara tatu hivi na wala sioni taabu kwani ni njia mojawapo ya kulinda mahusiano yetu kama alikuwa na tabia mbaya hapo kabla.
Unapojiona mwerevu basi ujue na wajinga wapo hivyo angalia sana werevu wako usije ukawa ni ujinga pia.Wajinga ndio waliwao.
Unapojiona mwerevu basi ujue na wajinga wapo hivyo angalia sana werevu wako usije ukawa ni ujinga pia.