Wanawake karibia wote wamevimba makalio, mtatumaliza jamani!

Sie weusi kuna fuse mungu haku zi-install wakati Wa uumbaji ndio kiss wenzetu weupe wapo tofauti sana na sisi,ukiishi nao utalitambua hili...tunaumiza vichwa kwa mambo yasiyo ya msingi
 
Chura hazoeleki ni kama somo la hesabu tu.

Wanafki watajifanya hawajui
 
 
Hebu acheni maskhara nyie zike housing za vijambio si mchezo mi nishawahi kugeuza shingo niko na wife nikajifanya kuna mtu nimemfananisha kumbe housing la mavi limesumbua barabarani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…