Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Huku mbona hawako?
Bhuahahahaha dah nimecheka Sanaa mkuumie nikikerana na mama watoto siongei kitu nachukua daladala kutoka sinza hadi posta mida ile wanatoka kazini, basi nitatizama vyuura pale wee ikifika saa 3 napanda daladala kurudi sinza hata nikifika nyumbani hasira zishaisha
oknaja huko
umenichekesha sana mkuuNipo hospitali nafungwa P.O.P ya shingo kwa mambo hayohayo ya kuangalia upande mmoja![]()
ata ww unayo?sasa kama ni mengi unageuka kuangalia nini au wanapita huku wanacheza mdundiko
me sinaata ww unayo?
Daaaaaaa ww jamaaa umefanya siku yangu iwe bora sanamie nikikerana na mama watoto siongei kitu nachukua daladala kutoka sinza hadi posta mida ile wanatoka kazini, basi nitatizama vyuura pale wee ikifika saa 3 napanda daladala kurudi sinza hata nikifika nyumbani hasira zishaisha
Mtani naona huyu anautani na wewe huyu...!sasa kama ni mengi unageuka kuangalia nini au wanapita huku wanacheza mdundiko
Hapana miondoko
usiogope mkuuahaaa kuumbe, maana nilistuka daah
KabisaMtani naona huyu anautani na wewe huyu...!
Ila mimi na yule jamaaa hatuambiliki kwa utamu ulio nao potelea mbali chura kitu ganiKabisa

ila raha ya kitu ukitumie, sio unakuwa na demu mwenye makalio kama hayo halafu unayaacha bila ya kuyatumiaAcha basi utani wa ngumi

Hawajavimba, wamenenepeana.Jamani siku hizi wanawake karibia wote wamevimba makalio sijui wanatumia nini wananpa shida yani niko mjini kila saa nageuza shingo kidogo nigongwe na magari.
mie nikikerana na mama watoto siongei kitu nachukua daladala kutoka sinza hadi posta mida ile wanatoka kazini, basi nitatizama vyuura pale wee ikifika saa 3 napanda daladala kurudi sinza hata nikifika nyumbani hasira zishaisha
yani posta ni kama window shopping ya vyura na hasa mida ambayo wanatoka makazini kuanzia saa 9 mpaka saa 1 jioni, ni shiida kwa kweli kama una stress zitapotea bila kujuaDaaaaaaa ww jamaaa umefanya siku yangu iwe bora sana