Nyie wanawake kama mtu humtaki mwambie mapema acha kumpotezea muda wake na kumlia resources zake(fedha)..... nk

Red black

JF-Expert Member
Nov 29, 2019
2,399
5,817
Habarini wanajf i hope mko gud kabisa.

Moja kwa moja niende kwenye topic nyie wanawake inshort mnazingu unatongozwa unakubali unaanza kupewa fedha za matumizi..unatoa tunda mwanaume nanogewa naweka malengo at the end of day unaaza drama za kiseng**

kwani hamjui kukataa... kama humtaki mtu mwambie mapema acha kumpotezea muda wake na kula hela zake unaleta drama hueleweki mfano nakupiga kisu unakufa na utamu wako.

Mnaanza kusema ooh wanaume wabaya kumbe nyie wenyewe ndio wajinga.

Kuweni makini acheni tamaa za kijinga.
Au nyie wanawake mnataka tunafanyajee??

God damn it

Nawasilisha.
 
Nyie ndio majamaa mnaingia na gia za kuhonga kishamba shamba, mkipigwa tukio mnakuja kulalamikia JF. Ukitaka mwanamke wa Karne hii wewe sema dau lako tu, mkikubaliana hiyo ndio price tag yake, suala la kuchukua majukumu ya kuanza kumuhudumia hicho ni kiherehere chako binafsi
 
Ausio...
 
Back
Top Bottom