Siku zote nafahamu wanawake ni viumbe vyenye akili mbili tatu.Xo dnt take it into advantage kwamba jinsi mlivyowadhaifu ndo mkose hata akili ya kujielewa na kujitambua.Siku zote msitake kuforce mapenzi,mwanaume akikwambia ana mpenzi tayari,jaribu kuelewa,usiforce akupende although najua inauma,pale unapojibiwa negatively na matarajio yako.sasa ona huu mkasa umenitokea jana majira ya jioni,nilikuwa na demu wangu tumeamua kula dinner nje coz,si kila siku tunapika.Well,kunademu alitokea kunipenda kipindi cha kama wiki 3 zilizopita,alinitafuta kwa namna anayojua mwenyewe na sijui ni nani aliyempatia namba yangu ya simu.Xaxa tangu aipate hii namba kwangu imekuwa kero coz anasumbua kunipigia simu hovynhovyo,huku anajua fika mimi ninamwanamke ambaye tunapendana tayari,sasa chakushangaza jana kavamia convoy yangu na my lover,akaanza kumrushia maneno manzi wangu,eti"Aaaargh,mwanamke mwenyewe kimbaumbau,hakina hata shepu,sijui na huyu mwanamume kakupendea nini,kaone kalivyokabaya kuanzia sura mpaka tabia,kazi kudandiadandia ngoma usizo na hadhi nazo".Kweli yule mwanamke alinikera kweli coz alisababisha ugomvi mkubwa,walipigana kweli nikashindwa hata kuamlia mpaka nilipopata msaada wa mlinzi shirikishi mmoja wa kike nakumdirect yule mdada ki2o cha polisi,hivi xaxa yupo nje kwa dhamana na anakesi ya LUGHA YA MATUSI.sasa naona alichokipanda keshavuna.Nani alaumiwe jamani,coz nisha ku alert mapema mm ninampenzi,kwann usiwemuelewa basi.KWELI WANAWAKE mnaboa kama ndo mmefikia stage hii yakuforce mapenzi.