Wanawake jihadharini Mwanaume hajaribiwi

Daahh! alichokiandika huyu aliyemaliza chuo,aibu naona mimi.
 
Kwahyo mpaka hujaMUsalimia?
 
Mwanamke wa kumtukana mwanaume huyo hafai hata kdogo
 
Una maisha marefu kijana. Hakika maisha haya hayatakusumbua ingawa uliharibu kwa kuwa muongo muongo. Ungemtakia kila la kheri tu yatosha.Dawa ya moto ni maji.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
bro, una nikumbusha mbali, sana.

mimi mwenyewe single maza alijilengesha, nika mwambia nina mke, akasema haina shida ata heshimu.

Two weeks akaanza mara, mwanae anaumwa, mara umeme kwake kamalizia wiring ila hela hana na fundi ana msumbua kweli, mara ada ya chuo kapungukiwa elf.60 n.k n.k

NIKA MWAMBIA SIUNAJUA NAMI NINA MKE, NA MKE WANGU NAMIMI TUNA MAHITAJI?
akasema Eee najua umeoa,

nika mwambia sasa nahusikaje kwa umeme wa nyumbani kwako?
au ada au n.k n.k??

Akasema kwa hiyo ULIVYO KUWA UNA NI BINUABINUA NA KUNI KUNJA KUNJA ULIDHANI OFAAA....!

nikasema hatukuwa na makubaliano ya pesa wala kuoana,

AISEE NILIOGA MATUSI ACHA TUU,

nikampotezea, nowdays ananiona napita na mke wangu ana drive kanibeba kwenye kigari chetu, kazini na misele miseleee

ANASEMA ETI, SIKU HIZI UNA RINGAAAA
NAMI NAMPOTEZEA, SIKU WAHI KUJIBU MATUSI YAKE HATA MOJA,

wanawake TUISHI NAO KWA AKILI TU.
 
Ni kwamba mi mgeni humu!!;!!; tukiacha hayo vp shem yangu mZima? mana juzi umetuchana kama hujatuona hivi
[emoji15][emoji15] Bro una force kitu kweli hata sikufahamu ani, sijaelewa nini kimekukumba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…