The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,135
- 1,381
Daahh! alichokiandika huyu aliyemaliza chuo,aibu naona mimi.
Hivo tusafi hii.."kakupiga ngumi ya sikio,umempiga ngumi ya jicho"..akafie mbele
Ungemwambia tu hongera ingetosha..
Papuchi zipo kwa ajili yetu... Usizipoteze kirahisi hvo
Yaan aliporomoka balaaNamuomajini muonekano wake alipokuwa anakuandikia hizo sms za matusina huenda alizidindikiza na msonyo....
Kwahyo mpaka hujaMUsalimia?Wakuu tumaini langu najua mko wazima wa afya na kwa wagonjwa Mungu awape ahueni ili muwe wazima hatimae muendelee kujitafutia Ridhiki.
Niende moja kwa moja katika mada hii ambayo nimeona kwa wadada ili wajifunze Jambo pengine.
Wadada msipende kuwajaribu wanaume wakati vyumba vya mioyo yenu haviwezi kusitahimili majibu yanayo weza kutoka upande wa wanaume.
Mimi nilikuwa na mpenzi ila tofauti Yetu ilikuwa level za shule yeye alipoanza mwaka wa Kwanza chuo Mimi tayari nilikuwa namalizia mwaka wa mwisho Richa kuwa dada huyu tunafahamiana kabla ya shule yaani Nyumbani tunaishi tumtaa mmoja.
Nilipomaliza chuo nilimuacha shule ila gafla alianza kubadilika ,ingawa g mm sikujali nikawa najifanya sioni ili tuendelee kuwasiliana, bt baadae alinitafuta akaniambia nisiwe namuita My maana tayari yupo ktk mahusiano mm niliumia ila sikuonesha kama nimeumia? Nikasema vizur Kama umempata mfike salama.
Mda ukaenda alipofika mwaka wa pili akanitafuta akaniambia kanimix Sana na mm sikuchelewa nikasema mmeachana na mmeo? Akasema wanaume hawaeleweki nikamjibu mvumilie mtafika akawa kimya baadae nikawaza kwa kuwa nilikuwa nampenda nikamwambia bac poa tukae pamoja Tena Kama zamani akasema poa na akanza kunisifia nilivyotofauti na wanaume wengine na mambo mengi tu?.
Tumeenda wee siku ya jana akanitext sms akasema amepata mwanaume wa kumuoa so yupo mbioni Kuolewa? Sasa na mm kwa hasira nikasema hata mm nilichelewa kukuambia nimeposa tayari na mwezi wa 10 mwaka huu ndoa itapita ,. Ngoja nianze kuoga matus kwanza we ni sinitch mkubwa na munafiki Sana , unasema unanipenda huku umetoa mahali hapo unanipenda wap?
Mbwa mkubwa huna lolote Tena futa namba zangu zote shetani mkubwa? Duh. , Bac mm nikamwambia kwani ww siunataka Kuolewa na mm sinataka kuoa kwani ubaya uko wapi situpeane heshima tu? Akasema Nan amesema anataka Kuolewa?
Mimi nilikuwa najisemesha tu na Wala Sina mwanaume ila ww kwa nn umeposa wakati unajua tunamalengo ya kuoana?
Nikamwambia bac hainajinsi Mungu atakupa mwingine akadai Tena nikimuona nisimusalimie? .
Kimsingi mm sijaposa ila alivyo niambia kuwa kaposa nikaumia na mm nikajihami na msimamo sikuubadili Richa kuwa niuongo.
Wanawake kwann munapenda kujaribu jaribu Sana wanaume wakati mmetepeta Sana Kama tembele.?
Nawasilisha.
Wadada wanaumiza Sana kwa kujibu vibaya ili tuumie bila kujua wanaume tumeshaiva kivitaPunguza hasira mkuu
Dada kumbe mpo wengi poleYaani hako ka egzampo kako uchwara ndo ututikise wanawake wote?
Nyau we.
Ukisikia chuo usije ukadhani wote ni chuo kikuu wenginë ni vyuo vya utalii, computer, hotel management nkDaaah kwahyo na wewe ni graduate? Daaah Samia anakazi kubwa sana
Una maisha marefu kijana. Hakika maisha haya hayatakusumbua ingawa uliharibu kwa kuwa muongo muongo. Ungemtakia kila la kheri tu yatosha.Dawa ya moto ni maji.Wakuu tumaini langu najua mko wazima wa afya na kwa wagonjwa Mungu awape ahueni ili muwe wazima hatimae muendelee kujitafutia Ridhiki.
Niende moja kwa moja katika mada hii ambayo nimeona kwa wadada ili wajifunze Jambo pengine.
Wadada msipende kuwajaribu wanaume wakati vyumba vya mioyo yenu haviwezi kusitahimili majibu yanayo weza kutoka upande wa wanaume.
Mimi nilikuwa na mpenzi ila tofauti Yetu ilikuwa level za shule yeye alipoanza mwaka wa Kwanza chuo Mimi tayari nilikuwa namalizia mwaka wa mwisho Richa kuwa dada huyu tunafahamiana kabla ya shule yaani Nyumbani tunaishi tumtaa mmoja.
Nilipomaliza chuo nilimuacha shule ila gafla alianza kubadilika ,ingawa g mm sikujali nikawa najifanya sioni ili tuendelee kuwasiliana, bt baadae alinitafuta akaniambia nisiwe namuita My maana tayari yupo ktk mahusiano mm niliumia ila sikuonesha kama nimeumia? Nikasema vizur Kama umempata mfike salama.
Mda ukaenda alipofika mwaka wa pili akanitafuta akaniambia kanimix Sana na mm sikuchelewa nikasema mmeachana na mmeo? Akasema wanaume hawaeleweki nikamjibu mvumilie mtafika akawa kimya baadae nikawaza kwa kuwa nilikuwa nampenda nikamwambia bac poa tukae pamoja Tena Kama zamani akasema poa na akanza kunisifia nilivyotofauti na wanaume wengine na mambo mengi tu?.
Tumeenda wee siku ya jana akanitext sms akasema amepata mwanaume wa kumuoa so yupo mbioni Kuolewa? Sasa na mm kwa hasira nikasema hata mm nilichelewa kukuambia nimeposa tayari na mwezi wa 10 mwaka huu ndoa itapita ,. Ngoja nianze kuoga matus kwanza we ni sinitch mkubwa na munafiki Sana , unasema unanipenda huku umetoa mahali hapo unanipenda wap?
Mbwa mkubwa huna lolote Tena futa namba zangu zote shetani mkubwa? Duh. , Bac mm nikamwambia kwani ww siunataka Kuolewa na mm sinataka kuoa kwani ubaya uko wapi situpeane heshima tu? Akasema Nan amesema anataka Kuolewa?
Mimi nilikuwa najisemesha tu na Wala Sina mwanaume ila ww kwa nn umeposa wakati unajua tunamalengo ya kuoana?
Nikamwambia bac hainajinsi Mungu atakupa mwingine akadai Tena nikimuona nisimusalimie? .
Kimsingi mm sijaposa ila alivyo niambia kuwa kaposa nikaumia na mm nikajihami na msimamo sikuubadili Richa kuwa niuongo.
Wanawake kwann munapenda kujaribu jaribu Sana wanaume wakati mmetepeta Sana Kama tembele.?
Nawasilisha.
Unakuwa na uhakika gani kwamba utaharibu hisia zake?Mimi mbele ya mwanamke najifanya mjinga akitaka kuniacha. Siwezi shindana nae maana nitaharibu hisia zake. Akitaka kuonekana bingwa na kaniweza nami nampa nafasi hata kama hajaniumiza
Ni kwamba mi mgeni humu!!;!!; tukiacha hayo vp shem yangu mZima? mana juzi umetuchana kama hujatuona hivi

Bro una force kitu kweli hata sikufahamu ani, sijaelewa nini kimekukumba..Wanapenda wakikuumiza uonekane umeumia. Mimi napenda kuwapa ushindi hata kama ni fakeUnakuwa na uhakika gani kwamba utaharibu hisia zake?
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Duh! kumbe!Wanapenda wakikuumiza uonekane umeumia. Mimi napenda kuwapa ushindi hata kama ni fake