mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,215
ahahhahahahaha
kuna mwingine akitanua unapiga chafya
kuna mwingine akitanua unapiga chafya
mi sijasoma napita tuu!Jamani kuna wanaume wasafi wanajipendaaaaa. Manina zao aisee.
They smell so good. Look so good you wanna eat them whole.
Yaani kama ni pipi unakula na wrapping yake aisee.
Jamani kuna wanaume wasafi wanajipendaaaaa. Manina zao aisee.
They smell so good. Look so good you wanna eat them whole.
Yaani kama ni pipi unakula na wrapping yake aisee.
Jamani, mtoto wa kike anashinda na jeans imebanaaaa, hewa haicirculate huko ndani, tena kwa joto kama la Dar hapo anafuga fungus na bacteria.
Jamani kuna wanaume wasafi wanajipendaaaaa. Manina zao aisee.
They smell so good. Look so good you wanna eat them whole.
Yaani kama ni pipi unakula na wrapping yake aisee.
Hata wanaume pia kwa VIKWAPA na UBUNDO WA BOXER!!!,!! Mhhhhhhh! Na kumfuga RICK ROSS huko chini sasa! Ka msitu wa EQUATOR!
Ila wanawake wenzangu unakuta mtu MIKUCHA MIREFUU kuleee, jtatu hadi jtau hadi unajiiliza anachamba vipi huyu mwenzetu? Anaoshaje zana zake? Ndo maana watu wanavunda wanaosha juu juu tu.
ni janga babylon tower
Pafyumu zinaficha mengi asikwambie mtu hasa wakaka anaweza asioge hata siku 3 ananawa uso tu anapiga pamba fresh pafyumu yake iko wapi fyuuuu ndo imetoka io na madem anaingiza kama kawa wakimaliza yakwao unaona wanasindikizana bila hata kuoga anazunguka weee kuja kumuona usiku kwakwel we differ..
umenifurahisha sana ha ha ha ha ha haha aha aha:nod::nod::nod::nod::flypig::flypig::flypig::flypig:ntaweka pressure washer getho ili nikipata wa hivyo nimpitishie hiyo kitu
Mwaya sisi wanawake hatusemwi bure.
Minywele harufuuu. Makucha kama ulivyosema. Mi huwa najiuliza huko chini wamekufa ganzi? ------.
Mwaya sisi wanawake hatusemwi bure.
Minywele harufuuu. Makucha kama ulivyosema. Mi huwa najiuliza huko chini wamekufa ganzi? ------.