Wanawake jamani

Wanawake jamani

hapo umenena bby nadhani wale chini wameoza kwa kweli unakuta mdada ana makucha kabandika kapaka rangi tofauti tofauti unajiuliza jini au binadamu...ina maana hajichambi ....
juu kaweka minywele ya rasta mkisimama kwnye daladala unatamani kumwambia dada hujisikii unanuka???tubadilike loooo

Ma weave yamekaa sijui mda gani. The stench sasa. Hair spray, pink lotion zote zimeform layer kichwani. Hapo ongeza cheap perfume, does lotions. I ----ing hate it.
 
Pafyumu zinaficha mengi asikwambie mtu hasa wakaka anaweza asioge hata siku 3 ananawa uso tu anapiga pamba fresh pafyumu yake iko wapi fyuuuu ndo imetoka io na madem anaingiza kama kawa wakimaliza yakwao unaona wanasindikizana bila hata kuoga anazunguka weee kuja kumuona usiku kwakwel we differ..

Hii kali. Kuzunguka na mijanaba?
 
namkubalia Karucee kabisaaa...kuna wanaume wanaonukia balaa tena akikuhug scent yake ibaki uuwiii ul imagne of so many thngs..jamani..cleanliness is of vital importance in attraction

Akiku hug you wanaa hold him forever.

Aisee.

Thumbs up to all fine men out there.

We love you.

lol
 
Kwenye manywele hayo unaweza kupata mafua mtu weaving mwezi mzima...
 
leo nimetambua kikamilifu kwamba Tyta ni mkuu wa mapicha...ongea weee,ye anakutupia na picha ili kurahisisha uelewa...asantee
 
mmh!
Raia mnaponda sana.
Kutokana na hali ya usafi kuwa tete, ndio maana napenda vya wimawima uchochoni.
Hamna kuchunguzana sana.
 
...hayo ma weave....ooooh!! hakika yananuka, hakika wadada vichwani mnatisha, wiki tatu huoshi nywele???? nnavyopenda kunusa harufu nzuri ya nyweli, ninakosa mengi kutoka kwenu..aaah!!
 
kuna msafi kuzidi mm?
 

Attachments

  • 1396947875635.jpg
    1396947875635.jpg
    88.3 KB · Views: 50
Back
Top Bottom