Wanawake huzeeka haraka kabla ya wanaume (maranyingi) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake huzeeka haraka kabla ya wanaume (maranyingi)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by DrRonny, Jan 1, 2012.

 1. D

  DrRonny Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Halooo, habari zenu wanajamii wote, wakaka na wadada. Karibuni mchangia maada hii kwa hoja za msingi. Maranyingi katika jamii huwa tunaona kuwa katika ndoa, baada ya kujifungua mtoto au watoto mwanamke huchakaa ghafla na hadi mwanaume anaonekana alioa mwanamke mwenye umri karibu sawa na mama yake.

  Hata kama wataishi maisha ya bila kuzaa, hili pia huweza tokea. Na hata kama wakiishi bila mapenzi yaani ngono. Na tukiachilia mbali kuwa kuna watu waliojaliwa kuwa na umri mkubwa ila bado anaonekana ni kijana.

  Je, nyinyi mnadhani tatizo lipo wapi?
  Je, inahepukika?

  Karibuni.
   
 2. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kanuni na itifaki ya maumbile ndiyo hupelekea iwe hivyo iwavyo.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hao walikuwa wanawake wa zamani (tafuta thread ya 'mbu' juu ya ndoa za siku hizi dhidi ya za zamani utaelewa sababu)
  Wanawake wa siku hizi hatuzeeki manake hatukubali stress. Ukijaribu kum-stress unaishia wewe kuwa frustrated. Ndo maana unaona siku hizi vilio vya wanaume na wanawake viko sambamba kama sio vya wanaume vimezidi,lol!
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Matunzo ndio yanachangia hapo
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Lakini kwa kiasi kikubwa wanawake wa siku hizi wana uwezo wa kujitunza wenyewe...
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli mkuu matunzo nayo yanachangia kwa kiasi fulani
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tukiangalia kwa upande mwingine wanaume wengi wanawahi kufa na kuacha wake zao, hata ukiangalia waloathirika mwanaume anawahi kufariki nayo inachangia na nini?
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Lkn ndo wanaishi maisha marefu zaidi wa wanaume
   
 9. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kama ni hivyo, bora uoe mwanamke uliyemzidi angalau miaka 10.
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Jan 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  wanawake wa siku hz hawazeeki
   
 11. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #11
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  dah hiyo avatar yao....paka anafungua kinywaji. ngoja niendeleze gambe.
  nadhani suala la kuzeeka ni matunzo tu.
   
 12. Emilia

  Emilia JF-Expert Member

  #12
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Swala la kuwahi kuzeeka halina mahusiano na jinsia .Hujaona mwanamke ana wwtoto watatu na bado anafunga belt kiuno chembamba,hilo ni swala la mtu binafsi kujiachia,hata mwanaume asipojitunza atawahi kuzeeka.
   
 13. H

  Hute JF-Expert Member

  #13
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,916
  Trophy Points: 280
  kuzeeka kwenye ndoa vinaendana na jinsia...wanawake hasa wanaozaa au hata wale wasiozaa lakini wanaofanya sana ngono tena na watu tofautitofauti huzeeka haraka kuliko wanaume walio na umri sawa na wao...hii ni kwasababu, akipata mimba, mwili huwa unaumuka ukija kujirudi basi hata kama atapewa chakula safi bado utakuwa umeshajegejela kidogo..hiyo haipingiki....akizaa kila baada ya miaka miwili mtoto, lazima ananyong'onyea sana.
   
 14. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #14
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Du mpaka leo watu mnafikira kama hizi basi masister wasinge zeeka.Fanya utafiti kwa wanawake wa sasa kama kuzaa kuna wazeesha.
  Zamani hasa vijijini ilikuwa hivyo kwa sababu mwanamke anazaa watoto 9,10 na kuendelea
  bado kulima kunamngoja,kutwanga,kwenda kutafuta kuni,matokeo yake miaka 25 anaonekana mzee.
   
 15. huzayma

  huzayma Senior Member

  #15
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wa siku hizi wengi umri wao tofauti na muonekano wao wa miaka 47 kama 35 kweli tena:eyebrows:
   
 16. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #16
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  wanawake wa siku hizi hawataki kupelekeshwa hivo wapo ngunguli kweeeeli
   
 17. Shadyfa

  Shadyfa New Member

  #17
  Jan 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haaaaaahaa mmh makubwa,..mm nawaskiliza
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wanajiachia sana mwanamke inabidi ajimantain(figure) na asiwe tipwatipwa(sanamu la michelini)
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sio kweli!!
  Kinachozeesha watu ni kula na matunzo duni bila kusahau stress.
  Kuna wanaume ,tena nisema vijana wa chini ya miaka ishirini ila ukiulizwa umri wao unaweza ukajibu 40. Mtu asipokula vizuri kwa mpangilio,akiwa na mawazo/stress kedekede, asipoujali mwili na muonekano wake lazima azeeke kabla ya muda, awe mwanaume au mwanamke.
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Lazima tuzeeke, kuujaza ulimwengu si kazi ndogo bado kuwa hoteli ya mtu mwingine.

  Cheki tu hilo jamaa kwenye avatar yangu linachofanza.
   
Loading...