Wanawake huwa hawapendani wao kwa wao

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,403
40,331
Wanawake huwa hawapendani wao kwa wao...
Hii nimeshuhudia maeneo fulani; kuna ofisi moja nilienda kuitembelea kutokana na majukumu yangu kwa bahati nzuri pale mapokezi kulikuwa na warembo kama watatu hivi mmoja wao alikuwa amekaa kwenye kiti, nadhani ndio muhusika pale mapokezi. Kati ya wale wadada watatu mmoja alikuwa na chura hatari na amejipulizia pafyumu yake tu nzuri. Nilipojongea pale mezani, nikashangaa yule dada aliyekaa kwenye kiti anamwambia yule mwenye chura kwa sauti isiyokuwa ya busara 'marashi yako yananuka vibaya na yananichafulia ofisi hebu niondokee' yale maneno yalimuuma yule dada naye akaja juu.......na akapoteza ile hali ya kujiamini. Nilipomuangalia machoni tu nikajua hayupo sawa....Jamani, dada zetu pendaneni nyinyi kwa nyinyi kwanza, nasi mabaharia tutawapenda.
 
(divide et impera ),

divide and conquer


Wasipopendana wakijitenga ndo tunawatawala vizuri kama wote wangekuwa kitu kimoja dunia ingekuwa changamoto kdogo
 
Back
Top Bottom