umesema kweli wivu ukizidi ni kero,lkn ni chachu ya mapenzi kwa wote(wanaume na wanawake),hata wanaume wanajisikia vizuri wanapoona wapenzi wao wanapata wivu kwa ajili yao kwa hiyo ni swala ambalo lina apply both sides si kwa wanawake tuuuu! Wivu ni mzuri ila kwa kiasi
Lakini ni lazima uwe mwangalifu usije ukajenga ama kuonesha wivu wa kupindukia, kwani hilo litamfanya mpenzi wako ahisi unamuona yeye si mwaminifu, au ni Malaya. Kumbuka wivu ukizidi sana huwa kero.
Kweli baba wivu una raha yake kwa wote mwanamke na mwanaume na nisehemu ya mapnz kama mtu hana wivu kbs anakuwa hajapenda kwa thati lkn akishapenda kwa thati ya moyo wako wivu unakuja automatically!cha msingi ni kuwa na uwezo wa namna ya kuucontrol usilete madhara au kero kwa mmoja wapo!
isije kuwa ni wivu wa kweli kweli wewe ukabakia unajichekesha chekesha tu.
Kama kweli umependa na huna wivu,Lzm una tatizo la kisaikologia kawaone wataalamu mkuu!Mimi wivu sina kabisaa_badala yake nina hasira.
kama kweli umependa na huna wivu,lzm una tatizo la kisaikologia kawaone wataalamu mkuu!
mi pia mbona sina wivu!
mi pia mbona sina wivu!
Huu ni wivu wa wastan Igwe,sio ule wa kupigana na watu jaman,mie nisipokuwa nao basi cjapenda na huwa niko open ckupendi na mtu akisema ananipenda ile hali hana wivu na mie basi huwa namuona tapeli, tutaishia kupiga story tu kwan hunitoka hata moyon kbs!ni kweli ninapenda lakn kamwe sina wivu_mpnz wangu akifanya ndivyo sivyo ninachukia(kumbuka sioni wivu) na sioni shida kuachana nae pale inapobidi,...naona sina tatizo lolote kwa hilo na hivyo no need ya kuwa konsati hao wataalam........achana na wivu unaweza kujiua ama kuua
hapa ni lazma tukubaliane kwamba watu/wanaume tuko tofauti na hii ni kutokana na mazingira tuliyokulia,..wivu wa wastani unaweza ukahisi lakn kamwe usiseme kitu(unajikausha)...sasa kama unajua kama mtu ajakuambia kitu kama cha wivu ni hakupendi basi unakosea,....its true mpnz wangu anasema namchukulia poa eti sababu simuonyeshi tu-wivu_lakn kusema kweli nampenda sana ila najikausha kisabuni,......thats how i/we doHuu ni wivu wa wastan Igwe,sio ule wa kupigana na watu jaman,mie nisipokuwa nao basi cjapenda na huwa niko open ckupendi na mtu akisema ananipenda ile hali hana wivu na mie basi huwa namuona tapeli, tutaishia kupiga story tu kwan hunitoka hata moyon kbs!
Kama kweli umependa na huna wivu,Lzm una tatizo la kisaikologia kawaone wataalamu mkuu!