Wanawake hupenda kitu gani kingine tofauti na pesa?

Hakunaga mwanamke mwenye upendo wa kweli ,narudia hakunaga km yupo bac sio kwa kizaz hiki .
Ukiona mwanamke anajifanya anakuelewa Basi tambua una kitu fulan ambacho anaona kabisa kwake kinaweza kuwa msaada.
Nikikumbuka kipind Sina ramani ya maisha Wala kazi yoyote madem kibao walikuwa hawanizingatii kabisa yaan demu hata ukimwita anakuangalia kwa dharau tu.

Mungu ni wetu sote angalau Nina uhakika kidogo wa maisha japo sijafanikiwa km ninavyotaman niwe ,tokea hapo sijawah kataliwa na mwanamke kila nikirusha ndoano hawachomoi ,Kuna had mademu fulan wa kitaa sikuwah waza kuwa ipo siku ntakujaga wapitia Ila ajabu sasa inafika muda had nawakwepa. Tatizo lao tu njaa Kali Sana yaan ukimla Mara mbil vibom vinaanza Tena vibom heavy ,bahat mbaya wamekutana na mm Mafia wa hizi Kaz baadae wanaishia kulalamika tu kuwa mm ni mwongo natoa ahad tu lakin sitimizi.

Ifike Mahal tukubal ukwel km huna kipato Cha uhakika utaishia tu kuwatazama Hawa mabinti ,lakin ukiwa na kibiashara chako chenye mtaji hata wa 2m wadem watajileta Sana au hata ukawa na kikaz ambacho kwa mwez hukos 500k had 1000k mademu watakuja wenyewe tu .

Demu akiwa na uhakika wa kupata hata ten kwa jamaa yeyote anampa k ,Ila km unashinda kibalazan tu muda wote madem watakudharau balaa .

Nifupishe kwa kusema madem wa cku iz wanadate na mtu kwa maslah Zaid hakunaga upendo wa maana Zaid ya kunafkiana tu
 
Vyote viwili

Kila mwanamke ana taste yake..

Mfano mwingine is crazy about wanaume weupe medium height
Mwingine tall and dark
Mwingine dark n short
Mwingine anapenda body
Mwingine anapenda awe na kitambi flani cha kuchomekea shati
Mwingine likes slim guys only
Nk...nk...mambo ni mengi
Tall and dark 😍
 
Hakunaga mwanamke mwenye upendo wa kweli ,narudia hakunaga km yupo bac sio kwa kizaz hiki .
Ukiona mwanamke anajifanya anakuelewa Basi tambua una kitu fulan ambacho anaona kabisa kwake kinaweza kuwa msaada.
Nikikumbuka kipind Sina ramani ya maisha Wala kazi yoyote madem kibao walikuwa hawanizingatii kabisa yaan demu hata ukimwita anakuangalia kwa dharau tu.

Mungu ni wetu sote angalau Nina uhakika kidogo wa maisha japo sijafanikiwa km ninavyotaman niwe ,tokea hapo sijawah kataliwa na mwanamke kila nikirusha ndoano hawachomoi ,Kuna had mademu fulan wa kitaa sikuwah waza kuwa ipo siku ntakujaga wapitia Ila ajabu sasa inafika muda had nawakwepa. Tatizo lao tu njaa Kali Sana yaan ukimla Mara mbil vibom vinaanza Tena vibom heavy ,bahat mbaya wamekutana na mm Mafia wa hizi Kaz baadae wanaishia kulalamika tu kuwa mm ni mwongo natoa ahad tu lakin sitimizi.

Ifike Mahal tukubal ukwel km huna kipato Cha uhakika utaishia tu kuwatazama Hawa mabinti ,lakin ukiwa na kibiashara chako chenye mtaji hata wa 2m wadem watajileta Sana au hata ukawa na kikaz ambacho kwa mwez hukos 500k had 1000k mademu watakuja wenyewe tu .

Demu akiwa na uhakika wa kupata hata ten kwa jamaa yeyote anampa k ,Ila km unashinda kibalazan tu muda wote madem watakudharau balaa .

Nifupishe kwa kusema madem wa cku iz wanadate na mtu kwa maslah Zaid hakunaga upendo wa maana Zaid ya kunafkiana tu
Point kubwa sana hiyo big up👊
 
Mnapenda mkia ?
Nisikilize mimi Bro kazi yangu naifanya katikati ya kundi la wanawake, wanawake wanapenda mkia sana hasa wale ambao hawana dhiki ndogo ndogo... maana akipenda hela anajua itabidi mkia upite apewe hela! mwisho wa siku hela inatolewa unabaki mkia kama mkia... ndio mana ving'ast hawaishi mjini
 
kumbe basi tutaendelea kuwapa mikia yetu😁😁😁😁
 
Tatizo lenu ; Wanasema show nyingi ziko chini ya kiwango ndo mana skuizi mwanaume anadhadaulika kuliko mwanamke..
Wale wanaosimamia kweli utashangaa watu hawa move on
Vyakula vimekuwa tatizo kwa wanaume wengi pamoja na mfumo wa maisha wa sasa😀😀
 
Usije ukadanganywa na perceptions za mwanamke ambaye anasema kwake PESA sio kitu bali Upendo,kuheshimiana,kusikilizana...kwamba hayo ndo yanasukuma maisha..aisee! You have to rule out indeep,unaweza kuta that kind of woman yuko na hitaji sana la kuwa into relationship(ndoa) by the time ushamweka ndani na pesa haipo hapo ndo shughuli inaanzia(hawezi kushiba Upendo toka kwako..kuna stuffs zinahitaji PESA hili maisha yaende...hawezi kushiba mkuyenge akatulia,NEVER-)...
Nasemajeee...Kama ilivyo IMANI BILA MATENDO IMEKUFA ndivyo ilivyo MAPENZI YA UPENDO BILA PESA HAYAPO.
 
Pesa pesa pesaaaaa!pesa sabuni ya rohooooo na heshima piaaa pesa inaleta heshima jamani!
 
Mku
Usije ukadanganywa na perceptions za mwanamke ambaye anasema kwake PESA sio kitu bali Upendo,kuheshimiana,kusikilizana...kwamba hayo ndo yanasukuma maisha..aisee! You have to rule out indeep,unaweza kuta that kind of woman yuko na hitaji sana la kuwa into relationship(ndoa) by the time ushamweka ndani na pesa haipo hapo ndo shughuli inaanzia(hawezi kushiba Upendo toka kwako..kuna stuffs zinahitaji PESA hili maisha yaende...hawezi kushiba mkuyenge akatulia,NEVER-)...
Nasemajeee...Kama ilivyo IMANI BILA MATENDO IMEKUFA ndivyo ilivyo MAPENZI YA UPENDO BILA PESA HAYAPO.
Mkuu nimekuelewa saana, kikubwa mwanaume ajue wajibu wake wa kwamba yeye ni kichwaa Cha familia mengine , ajue majukumu yake mengine yatakuwa sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom