Wanawake hufa mapema kuliko wanamume

Wanawake hufa mapema kuliko wanamume

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,602
Reaction score
1,864
Dunia kwasasa imepoteza wasomi na wanasayansi wengi wenye vipaji na akili za ziada kama mimi.
Kiufupi kila sehemu nikiona pameandikwa wanamume hufa mapema kuliko wanawake huwa nashusha thamani elimu ya sasa,.

Sasa wacha niingie kwenye mada yenyewe.
Japo ni vigumu kidogo kunielewa ila mtafiti mimi nakwambia binadamu wa kiume ndio huishi mda mrefu sana kuliko binadamu wa kike,.

Na hii inatokana na binadamu wa kiume kuishi katika mazingira ya utafutaji ambayo ni kama mazoezi katika mwili wake na kumfanya kuwa mkomavu wakati wote,

Pia binadamu wa kike hufa mapema ni kutoka na changamoto za wakati wa kujifungua na hata tendo la uzazi wenyewe ni jambo hatarishi kuanzia mimba, kuzaa na hata wakati wa kunyonyesha.

Watafiti wanaosema binadamu wa kiume ndio hufa mapema mara nyingi akili zao zinaa angalia WAJANE.
Na ni kweli wanawake wajane ni wengi ukilinganisha na wanaume wajane,.

Sasa leo wacha nikupe sababu za kwanini wanawake wajane ni wengi,.

Sababu ya kwanza ni kuwa wanamume wengi hupenda kuwaoa mabinti wadogo ukilinganisha na umri wao.
Utakuta mtu ameuzidi mpaka mara mbili au tatu umri wa mkewe.
Yaani wakati mwengine mtu wa kiume ana miaka 40 alafu mke wake utaona ndio kwanza ana miaka 16,
Hivyo mpaka mtu wa kiume ana miaka 80 mtu wa kike ndio kwanza ana miaka 45,.

Hivyo basi ukifanya tu tafiti ndogo juu ya vizee vya kike na vya kiume katika eneo lako utagundua kuwa vya kike huishiwa mapema zaidi na kufa ukilinganisha na vizee vya kiume,.

Mwisho
TUKIANZA KUOA WANAWAKE WALIOTUZIDI UMRI AU TUNAOFANANA NAO KWA UMRI, BASI WANAUME WENGI TUTAKUWA TUMEFIWA NA WAKE ZETU.

Asante.
 
Habari mkuu? Samahani naomba kujua umri wa hawa wajane Mama Maria Nyerere, mama Ana Mkapa, Siti Mwinyi, and the like? Samahani lakini.
 
Utakua wewe ndo una matatzo,unaangazia Takwimu kisa kwenda kutafuta?
Huko unaposema kama wanafanya mazoezi ndo wanaume hupukutika kwa majanga mbalimbali wanayokumbana nayo(risk ni kubwa sana).
HATA WAO HUSEMA USIJE KUFA KABLA YA KUTUACHIA KITU😄
 
😂😂😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom