Wanawake huboresha,Wanaume hurekebisha.

Wanawake huboresha,Wanaume hurekebisha.

life coach

Senior Member
Joined
Apr 11, 2017
Posts
121
Reaction score
401
Habari wana jamii.
Kwa sasa natengeneza video clip za dk moja ambazo huelezea jambo flani.Maelezo ya video hizo hubeba falsafa kubwa sana ambazo zimeandikwa katika mtindo mwepesi ili kufanya kila mtu aweze kuelewa kutokana na ufahamu wake.
Lengo kuu ni kuelezea mambo ambayo mimi binafsi naona ni sahii kwangu na kwa jamii ambayo yataiwezesha jamii kupiga hatua katika nyanja mbali mbali.
Nimejaribu kupost video humu ila imegoma,na link nayo imegoma.
Hivyo naweka jina la akaunti husika.

Rohonafsimwili.

Napatikana kwa jina hilo instagram na Twitter.

Pia kama kuna mtu anaweza kunielekeza namna ya kuweka link humu au kufanya video ikubali nitashukuru.
Asanteni.
 
Kichwa cha thread na thread yenyewe, duh, sijaelewa aisee
 
Hilo jambo ulilojirekodi limekusaidia nini kuja kuandika upupu
 
Back
Top Bottom