BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Hua naonaga katika social networks tofauti ama dating sites za kutafuta wapenzi, wachumba, mke/mume, one night stand, no strings attached,gays/lesbians,... kua especially wanawake katika eneo la "sexuality" wanaandika "open-minded"...hivi hua mnaamanisha nini? Mana kunakua na option kama "straight", "bisexual", "gay",,,,why most women they choose "open minded" ?
Sababu nilitegemea mwanamke aliekamilika aseme "straight", as the definition ya straight inasema attracted to the opposite gender, kwamba atavutiwa kua na gender nyingine tofauti na yake,hapo anaamanisha wanaume.
So ukisema you are open minded means yani wewe uko huru yeyote atakayekuja ama kama nakosea wanawake mnieleweshe. Sijajuaga pia kama katika hizo dating sites na social networks ambazo maalumu kwa ajili ya kukutanisha marafiki ama wapenzi wapo wanaume ambao husema "open-minded".
Karibu kwa mjadala.