Mwanamke kumwomba mwanaume pesa ni kitu kisicho kwepeka mkuu.na kwann uombe pesa tafuta zakwako
ungekua unatabia ya kuomba maramoja moja natumain angekupa
tatizo nyie wanawake kila cku kuomba pesa jaribun kutafuta zenu.
[HASHTAG]#maon[/HASHTAG] yangu lkn
Kweli kabisa.UJUMBE MZURI .....tunakosa kauli , ukiwa na kauli nzuri atakupatia tu hata akiba yake ila kama ukifungua mdomo maneno yanayotoka utafikiria umeweka pua kwenye tundu la shimo la chooo haloo utasotea sana kufaidi pesa za mumeo au mpenzi........
urembo wa mwanamke kauli, kuuvaa uwanamke vyema ( na si kujitia udume ), utiii, usafi,