Wanawake hili sio poa

Kuwa tayari kwa lolote.

Ukimwi pia upo sio covid-19 tu
 
Mwanamke ni chombo cha starehe..wanaume wenzangu mbona mnajisahaulisha????
Mkuu tuna watoto wakike , na madada pia hata Kama tunawanyandua ni vema wakaheshimiwa pia maana wapo wanao jitambua kwa kiasi fulani
 
Mkuu tuna watoto wakike , na madada pia hata Kama tunawanyandua ni vema wakaheshimiwa pia maana wapo wanao jitambua kwa kiasi fulani
Hata kama mkuu hawa viumbe ndivyo walivyo...jamaa anamtumia mama yake pesa ya matumizi ajikimu kimaisha..mazaa anamuhonga kibenten wake..
 
Amakweli penye miti hakunaga wajenzi...😅
 
Mwambie hiyo pesa umetuma kwake kimakosa,akihoji kwa nini mwambie sababu ya kukuita mume wake kisha mkaushie maana ukimuendekeza atakupotezea muda bure
 
Hahahahahaha afanyaje sasa acha aweke mbwembwe mpesa izidi kusoma na jua linavowaka hivi tutashuhudia mengi sana mwaka huu.
 
Ndio mutuite waume zenu gafla tu jaman [emoji38][emoji38]. Hivi fikiria mtu ambaya hata hajakuonesha dalili zozote za mapenzi gafla bin vuuuu tu anakuita mke wangu Tena ya hisia
Kwa hisia umemwona usoni? Mwandiko tu huo
 
Mwambie hiyo pesa umetuma kwake kimakosa,akihoji kwa nini mwambie sababu ya kukuita mume wake kisha mkaushie maana ukimuendekeza atakupotezea muda bure
Pesa sijamtumia yeye nimemyumia mtoto wake Kama zawadi
 
Wanasimitisha Sana Hawa watu. Sema ndio hivo maamuzi ni yao. Kiuhalisia wanatia huruma Sana japo wanajifanya wajanja
 
Ukitoa toa bila kukumbuka, acha kumsimanga...
 

Chanzo ni Umasikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…