Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,439
- 166,898
Dawati LA jinsia a.k a Shilawadumpeleke police
sio wivu tuu, wivu foooMahaba mengine yamekushinda umebaki na wivu tu
NdioKwaiyo cm ya Nokia touch cku iz ina whatsapp?
sina pa kumpata, it was just a one night stand. Ni maana JF mwenzioChief unatuaibisha bana,hzo mambo ingetakiwa umalizane na Shemejiii na cyo kuja kumshtaki huku
Magumegume na manyaumba sijui nimewakosea nini? Wanabadili hadi ring tone yanguHapa pamenichekesha na namba wanafuta wanakunyanyasa kweli Mkuu waambie wakuache na harakati zako
Nakuja Arusha One na Gari LA magazeti, nitakusutaHa haa na ukome kabisa muone
[emoji38] [emoji38] [emoji38] mweee hasira hizi asa si umwambie mwanamke wako kuwa hupendi io tabia unadhani uku amekusikia sasa!?!Kila wakati uko kwenye Whatsapp inbox yangu, unaangalia nachat nini na mama yangu na dada yangu?
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana.
Nina haki ya faragha. Unaiingilia ili iweje?
Mbona mimi sichunguzi mawasiliano yako na ndugu zako?
Mianamke ya kiswahili haina adabu wala haina akili.
Muda unaotumia kupekua simu yangu si bora ukaongeze elimu na ujuzi wako?
Pumbavu
Ni wanawake wengi, nawaokotaga MMU[emoji38] [emoji38] [emoji38] mweee hasira hizi asa si umwambie mwanamke wako kuwa hupendi io tabia unadhani uku amekusikia sasa!?!
Haya nakusubiriNakuja Arusha One na Gari LA magazeti, nitakusuta
Makubwa sasa!Kama huna wasiwasi na unachochat unamficha nini? Af watu kama wewe ndo number moja akipokea simu unasogea karibu usikilizie anaongelea nini! Akitabasamu tu kidogo atachezea kichapo. Bora yeye huchunguza mukiwa wote. Wewe unasibiri aingie bafuni ndo umkague hasaKila wakati uko kwenye Whatsapp inbox yangu, unaangalia nachat nini na mama yangu na dada yangu?
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana.
Nina haki ya faragha. Unaiingilia ili iweje?
Mbona mimi sichunguzi mawasiliano yako na ndugu zako?
Mianamke ya kiswahili haina adabu wala haina akili.
Muda unaotumia kupekua simu yangu si bora ukaongeze elimu na ujuzi wako?
Pumbavu