Wanawake hii tabia mbaya inawasaidia nini?

Ww mtoto wa kiume... mchane mkeo.... tabia ya kuja kulilia kusemea huku. Sasa nani atakusaidia..?
 
Ni nyakati za mashaka hizi....
Na kukosa imani ni rahisi.....

Hawa ndio vijana wetu wa kiume....tunaowatazamia kuwa ni vichwa vya familia.....ambapo wanashindwa hata kushughulikia suala dogo la kifamilia ambalo yeye ndio kichwa chake.......

Kwa vijana kiume wa aina hii....haishangazi kuona wanawake wakitaka usawa.....

Na wengine wakisema hakuna umuhimu wa kuolewa......

Uhuru na faragha vina mipaka yake ili viendelee kuleta tija kwenye ndoa......huo uhuru wa faragha bila ya mipaka unaouhubiri kwenye familia yako......siku moja utakufanya ulie kilio kikuu.......

Alafu kwanini una wasi wasi na mawasiliano yako na ndugu zako.....!???

Mnapanga mambo gani nyeti kiasi cha mkeo awe kikwazo......!!??

Kama unamuwekea mashaka hivyo kwenye mawasiliano ya ndugu zako.....ataamini vipi kama hao ndugu zako kweli....!??

Amini usiamini....mashaka hayo yanabomoa tofali moja moja kwenye kuta imara ya ndoa yako.....

TIME WILL TELL...
 
Kila wakati uko kwenye Whatsapp inbox yangu, unaangalia nachat nini na mama yangu na dada yangu?
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana.
Nina haki ya faragha. Unaiingilia ili iweje?
Mbona mimi sichunguzi mawasiliano yako na ndugu zako?
Mianamke ya kiswahili haina adabu wala haina akili.
Muda unaotumia kupekua simu yangu si bora ukaongeze elimu na ujuzi wako?
Pumbavu

Mlipie Fee ataenda ongeza Elimu, maneno mengi utazani hiyo shule umemtafutia!
 
Sir Bujibuji na mkewe

15542238_340560379656132_2208209128346280046_n.jpg
 
Ni nyakati za mashaka hizi....
Na kukosa imani ni rahisi.....

Hawa ndio vijana wetu wa kiume....tunaowatazamia kuwa ni vichwa vya familia.....ambapo wanashindwa hata kushughulikia suala dogo la kifamilia ambalo yeye ndio kichwa chake.......

Kwa vijana kiume wa aina hii....haishangazi kuona wanawake wakitaka usawa.....

Na wengine wakisema hakuna umuhimu wa kuolewa......

Uhuru na faragha vina mipaka yake ili viendelee kuleta tija kwenye ndoa......huo uhuru wa faragha bila ya mipaka unaouhubiri kwenye familia yako......siku moja utakufanya ulie kilio kikuu.......

Alafu kwanini una wasi wasi na mawasiliano yako na ndugu zako.....!???

Mnapanga mambo gani nyeti kiasi cha mkeo awe kikwazo......!!??

Kama unamuwekea mashaka hivyo kwenye mawasiliano ya ndugu zako.....ataamini vipi kama hao ndugu zako kweli....!??

Amini usiamini....mashaka hayo yanabomoa tofali moja moja kwenye kuta imara ya ndoa yako.....

TIME WILL TELL...
Haha Haaaa haaaa
wacha picha liendelee.
 
Kila wakati uko kwenye Whatsapp inbox yangu, unaangalia nachat nini na mama yangu na dada yangu?
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana.
Nina haki ya faragha. Unaiingilia ili iweje?
Mbona mimi sichunguzi mawasiliano yako na ndugu zako?
Mianamke ya kiswahili haina adabu wala haina akili.
Muda unaotumia kupekua simu yangu si bora ukaongeze elimu na ujuzi wako?
Pumbavu
Muda wanaotumiaga kupekuwa simu za waume zao, wangeutumia kuwafanyisha watoto homework wangekuwa wanapata A tupu kwenye mitihani.... WANABOA SANA.... wasalimie Sinza
 
Back
Top Bottom