SPECIAL TMN
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,160
- 905
Mkuu mwambie tu kuwa hayo mambo hayataki ujinga.
ntamwambia yule nyoka wa kwenye gemu akushughulikie
Isiwe wanamfanya dada wa watu ATM. Ndiyo maana hataki mkewe ajue mawasiliano na nduguye.Ni nyakati za mashaka hizi....
Na kukosa imani ni rahisi.....
Hawa ndio vijana wetu wa kiume....tunaowatazamia kuwa ni vichwa vya familia.....ambapo wanashindwa hata kushughulikia suala dogo la kifamilia ambalo yeye ndio kichwa chake.......
Kwa vijana kiume wa aina hii....haishangazi kuona wanawake wakitaka usawa.....
Na wengine wakisema hakuna umuhimu wa kuolewa......
Uhuru na faragha vina mipaka yake ili viendelee kuleta tija kwenye ndoa......huo uhuru wa faragha bila ya mipaka unaouhubiri kwenye familia yako......siku moja utakufanya ulie kilio kikuu.......
Alafu kwanini una wasi wasi na mawasiliano yako na ndugu zako.....!???
Mnapanga mambo gani nyeti kiasi cha mkeo awe kikwazo......!!??
Kama unamuwekea mashaka hivyo kwenye mawasiliano ya ndugu zako.....ataamini vipi kama hao ndugu zako kweli....!??
Amini usiamini....mashaka hayo yanabomoa tofali moja moja kwenye kuta imara ya ndoa yako.....
TIME WILL TELL...
The new beginning
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo! Huyo wako umemzoesha hivyo,alafu unakuja kututukana wanawake wote ...una nini lakini wewe?Kila wakati uko kwenye Whatsapp inbox yangu, unaangalia nachat nini na mama yangu na dada yangu?
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana.
Nina haki ya faragha. Unaiingilia ili iweje?
Mbona mimi sichunguzi mawasiliano yako na ndugu zako?
Mianamke ya kiswahili haina adabu wala haina akili.
Muda unaotumia kupekua simu yangu si bora ukaongeze elimu na ujuzi wako?
Pumbavu
Hapa pamenichekesha na namba wanafuta wanakunyanyasa kweli Mkuu waambie wakuache na harakati zakowako wengi, nAkutaga wamefuta na namba za simu za wanawake wengine wanaonipa namba zao nikiwaomba
Bujibuji avatar yako imepatwa na masahibu gani tena?
Simu ikishakuwa touch,inakosaje watssup?Kwaiyo cm ya Nokia touch cku iz ina whatsapp?
soma vizuri hiyo quotation yako, imejieleza vyema
Wivu ndio mahaba yenyewe sasa..[emoji6]Acha wivu
Mahaba mengine yamekushinda umebaki na wivu tuWivu ndio mahaba yenyewe sasa..[emoji6]
Ndio hapo hata mimi nimeshindwa kushangaa.Hao wanawake wanaopekuwa simu yako ni wangapi mpaka uwasemee kwa "wingi"